Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Ill-wishers are vulnerable to failures and embarrassment.Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ill-wishers are vulnerable to failures and embarrassment.Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Acha ufala wewe mbweha lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 wakati magufuli anapitisha mikataba mibovu na huyo huyo magufuli katengeneza mikataba mibovu mipya ya siri ya kumnufaisha yeye binafsi usaliti upo huko huko ccm acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kwa vitu ambavyo vipo wazi kwa kisingizio cha usaliti wa kulazimisha kisa umeahidiwa uteuzi.Msaliti wa Nchi Lissu asingeyatetea Mabeberu kila Mtanzania angepata noah
Ila badala ya Rais Magufuli kutugawia noah ametuletea haya
Umeme kila kijiji Tanzania
Zahanati kila kijiji Tanzania
Elimu bure
Viwanda
Ajira
Reli ya kisasa
Barabara za lami kila kona
Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania, October 28 Magufuli ushindi ni 98%
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaKumtia mtu moyo n sawa ila msimdanganye. Yeye uraisi hatapata neither you will be a member of parliament.
Hilo Zimwi unalo liabudu subiri litakavyo yeyushwa na hilo neno wabunge wawili kama anauwezo azuwie kama serikali za mitaa aone moto na hivi halijui lugha litajificha kolomije kwani Chato linasanifika tu watu hawalilendiMtajua mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Tutawafundisha adabu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Dua la kuku ...Dodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Acha ufala wewe mbweha lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 wakati magufuli anapitisha mikataba mibovu na huyo huyo magufuli katengeneza mikataba mibovu mipya ya siri ya kumnufaisha yeye binafsi usaliti upo huko huko ccm acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kwa vitu ambavyo vipo wazi kwa kisingizio cha usaliti wa kulazimisha kisa umeahidiwa uteuzi.
Hilo Zimwi unalo liabudu subiri litakavyo yeyushwa na hilo neno wabunge wawili kama anauwezo azuwie kama serikali za mitaa aone moto na hivi halijui lugha litajificha kolomije kwani Chato linasanifika tu watu hawalilendi
Wakati wa Singida hasa hasa wanaotoka jimbo la Anti ni matajiri wotena ndio maana wazawa wa dom mafukara hatari, huwezi kukumbatia ccm halafu ukabaki salama!.
Magufuli kuwatetea watanzania wa wapi? au watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Mikataba mipya ya madini ni mibovu na ni ya siri anayo mwenyewe huko chamwino na chato imejaa usaliti hakuna unafuu wowote mnufaika wa madini ni yeye binafsi na wewe kibaraka wake.Ndio lissu alikuwa anawatetea bungeni Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu
Shukrani kwa Rais Magufuli kututetea Watanzania, sasa tunafaidika na madini yetu
Msaliti wa Nchi Lissu akapigiwe kura na wale aliokuwa anawatetea
Wewe Abunwasi kweli Lisu amewekwa ndani akitetea wananchi wasiporwe madiniiaka hiyo leo unamwita hivyo huelewi kituKuna usaliti Nchi zaidi ya kutetea Mabeberu yaliyokuwa yanatuibia madini yetu?
Magufuli kuwatetea watanzania wa wapi? au watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Mikataba mipya ya madini ni mibovu na ni ya siri anayo mwenyewe huko chamwino na chato imejaa usaliti hakuna unafuu wowote mnufaika wa madini ni yeye binafsi na wewe kibaraka wake.
Hivi unalipwa sh.ngapi kuandika UHARO kama huu mitandaoni?Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Wewe Abunwasi kweli Lisu amewekwa ndani akitetea wananchi wasiporwe madiniiaka hiyo leo unamwita hivyo huelewi kitu
Unavyovitaja vyote hivi vimetokana na ufadhili au mikopo kutoka kwa wale unaowaita mabeberu. Mikataba ya huo ufadhili au mikopo mingi ilisainiwa wakati wa Mkapa na kikwete. Kwa hiyo hongera siyo kwa Jiwe tu.Msaliti wa Nchi Lissu asingeyatetea Mabeberu kila Mtanzania angepata noah
Ila badala ya Rais Magufuli kutugawia noah ametuletea haya
Umeme kila kijiji Tanzania
Zahanati kila kijiji Tanzania
Elimu bure
Viwanda
Ajira
Reli ya kisasa
Barabara za lami kila kona
Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania, October 28 Magufuli ushindi ni 98%
Unavyovitaja vyote hivi vimetokana na ufadhili au mikopo kutoka kwa wale unaowaita mabeberu. Mikataba ya huo ufadhili au mikopo mingi ilisainiwa wakati wa Mkapa na kikwete. Kwa hiyo hongera siyo kwa Jiwe tu.
Yaani hiyo ndiyo live maana yake? Uelewa wako ni mdogo sana endelea na kupiga lamli tu haya mengine huyawezi.Punguza upoyoyo wewe hiyo hajaweka mleta mada....BTW ni tukio live kwakuwa mhusika muda huu yuko njiani kuelekea kwenye maeneo husika
Kwa hiyo wale wanyonge wa nyamongo walikuwa mabeberu
Ukweli Mchungu kauza...Suala la Chato na kuweka dhamana madini tunatakiwa kuepuka siku ishirini zilizo baki, kuna propaganda inauzwa Kanda ya Ziwa muda huu na naona inawakamata akili zao. Wana siasa ni watu hatari sana.