Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Hizo camera zimepigwa na picha gani? Mbona naona ukungu tu. Kitengo cha habari cha Chadema kuweni serious basi japo kipindi hiki tu cha uchaguzi. Mnatuangusha sana.
 
Sasa kuna mlima gani wa kupanda kwa msaliti wa Nchi Lissu ?

Huyu msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Safari hii Chadema tutawafundisha kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Usaliti wa CCM ulianza mwaka 1998 mlipoanza kuuza nyumba za Serikali viwanja uwekezaji wa madini kwa mikataba mibovu iliyopitiswa Bungeni na wabunge wa CCM na magufuli akiwa ni mmojawapo pasipo kuhoji chochote kile, Tundu lisu kaanza kupiga kelele tokea mwaka 1998 hamkumjali mkaziba masikio, leo hii mtukufu magufuli kaingia mikataba ya siri anayoijua mwenyewe kwa ahadi za kugawa Noa kwa watanzania eti mnamsifu, usaliti upo mkubwa mikataba mipya ya madini bado kuna usiri mkubwa kuna ufisadi kuna ujanja ujanja mwingi usaliti upo CCM huko huko.
 
Muulize jiwe anapanda mlima au anushka mlima?

Mtu kama unajua umefanya maendeleo na mzalendo namba moja, si umuache tu huyo beberu jeusi au msaliti apige kampeni kwa sawa. Maana unajua tuu umeshinda kwanini umfanyie figisu figisu

Tafadhali nahitaji kusikia na kufahamu huo usaliti wa Tundu Lissu
 
Nimekuambia hivyo ujue kilakitu kinawezekana.unaweza ukawa wa kufanikisha jambo kwa 100% ila matokeo yakaja vingine..kwazi kwako.
Sasa ujue kuwa uwezekano wa Aston Villa kuifunga Liverpool ulikuwepo mkubwa tu, na kila mtu anayejua mpira alilifahamu hilo.
 
Usaliti wa CCM ulianza mwaka 1998 mlipoanza kuuza nyumba za Serikali viwanja uwekezaji wa madini kwa mikataba mibovu iliyopitiswa Bungeni na wabunge wa CCM na magufuli akiwa ni mmojawapo pasipo kuhoji chochote kile, Tundu lisu kaanza kupiga kelele tokea mwaka 1998 hamkumjali mkaziba masikio, leo hii mtukufu magufuli kaingia mikataba ya siri anayoijua mwenyewe kwa ahadi za kugawa Noa kwa watanzania eti mnamsifu, usaliti upo mkubwa mikataba mipya ya madini bado kuna usiri mkubwa kuna ufisadi kuna ujanja ujanja mwingi usaliti upo CCM huko huko.
Kwani Pombe na Bia Yetu Kuna tofauti gani wao wamelewa madaraka wanajifanya wazalendo

Ogopa sana mtu anaejisifia kuwa yeye anasali sana

Vile vile anaejiita mzalendo kuliko wengine
 
Umeweka picha mbovu kuficha aibu

Tundu lissu anajaribu kwenda kufuta aibu alioipata mwanzo kwa kukosa watu
 
Muulize jiwe anapanda mlima au anushka mlima?

Mtu kama unajua umefanya maendeleo na mzalendo namba moja, si umuache tu huyo beberu jeusi au msaliti apige kampeni kwa sawa...maana unajua tuu umeshinda kwanini umfanyie figisu figisu

Tafadhali nahitaji kusikia na kufahamu huo usaliti wa Tundu Lissu
CCM hujidai wameleta maendeleo na pia wanapendwa kupitia nguvu za Polisiccm cha ajabu hawajiamini kutwa ni kuwahujumu chadema na kibaya zaidi polepole anajinufaisha binafsi kwa kuchukua mapesa CCM kwa kisingizio cha kuidhoofisha chadema
 
Kwani Pombe na Bia Yetu Kuna tofauti gani wao wamelewa madaraka wanajifanya wazalendo

Ogopa sana mtu anaejisifia kuwa yeye anasali sana

Vile vile anaejiita mzalendo kuliko wengine
Uzalendo CCM ni kuwapiga risasi kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mwingi kwa wapinzani huo ndiyo Uzalendo wa CCM ya sasa CCM ya kishamba na kishetani
 
Rais Magufuli haitaji kampeni anapita kuwasalimu Watanzania

Ushindi wa Ccm ni 98%

Msaliti wenu wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Muulize jiwe anapanda mlima au anushka mlima?

Mtu kama unajua umefanya maendeleo na mzalendo namba moja, si umuache tu huyo beberu jeusi au msaliti apige kampeni kwa sawa...maana unajua tuu umeshinda kwanini umfanyie figisu figisu

Tafadhali nahitaji kusikia na kufahamu huo usaliti wa Tundu Lissu
 
Umeweka picha mbovu kuficha aibu
Tundu lissu anajaribu kwenda kufuta aibu alioipata mwanzo kwa kukosa watu
Tundu Lisu hakosi watu hana wasanii hana fuso za kusomba watu acha propaganda za kishamba shamba toka Chamwino na Chato.
 
Lissu ndiye msaliti wa Nchi alikuwa anawatetea Mabeberu waendelee kutuibia rasmali zetu

Huku Mzalendo Rais Magufuli akatupigania akarudisha raslimali sasa Watanzania tunafaidi

Huyo msaliti wa Nchi atapigiwa kura na Mabeberu
Usaliti wa CCM ulianza mwaka 1998 mlipoanza kuuza nyumba za Serikali viwanja uwekezaji wa madini kwa mikataba mibovu iliyopitiswa Bungeni na wabunge wa CCM na magufuli akiwa ni mmojawapo pasipo kuhoji chochote kile, Tundu lisu kaanza kupiga kelele tokea mwaka 1998 hamkumjali mkaziba masikio, leo hii mtukufu magufuli kaingia mikataba ya siri anayoijua mwenyewe kwa ahadi za kugawa Noa kwa watanzania eti mnamsifu, usaliti upo mkubwa mikataba mipya ya madini bado kuna usiri mkubwa kuna ufisadi kuna ujanja ujanja mwingi usaliti upo CCM huko huko.
 
Rais Magufuli haitaji kampeni anapita kuwasalimu Watanzania

Ushindi wa Ccm ni 98%

Msaliti wenu wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Muulize vizuri anawenge la kupiga hadi magoti
 
Back
Top Bottom