Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Mwambieni Tundu abadilishe hilo jina la Tundu linatia kichefuchefu sana kulitaja.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Acheni kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, jina na hoja zilizopo vina uhusiano gani? Umeana wenye Akili timamu wanajadili jina lako au jina la yeyote? Acha ufala wako komaa na hoja na kama huna hoja endelea kuvuta Bangi mpaka cyprian Musiba atakaporejea toka kwa le mutuz kuchukua ujinga zaidi.
 
Tutawakeraaaaaa saaana! kumbe mnatufuatila!! karibu kwa wazalendo halisi
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge?
 
Jana naskia walivotoka uwanjani pale Mkapa stadium wakawapeleka kibasila sijui kula ubwabwa.Ndio maana nchi hii umaskini hauwezi kuisha sababu viongozi wanapenda tuwe masikini na mabolizozo ili watutawale vzr ila safari hii watakiona cha moto hakuna kulala
Hawa hapa 😆
 

Attachments

  • FB_IMG_16023190254684384.jpg
    FB_IMG_16023190254684384.jpg
    35.1 KB · Views: 1
Lisu baada ya kuona mziki wa Magufuli Jana uwanja wa taifa Dar Akakimbia mji usiku ule ule wa jana kuelekea Dodoma kukiwa giza
Mziki upi wakati mliwafungia watu mageti hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaipenda CCM tena, umebakia wewe mnufaika wa kuwabambikia kesi watu mtengeneza blackmail kwa wafanyabiashara unapata pesa kwa kivuli cha uonevu wa mtukufu magufuli, wewe umenufaka kwenye uteuzi wa Serikali ya udikiteta ndiyo maana umejitoa fahamu zote unatetea ufedhuri udhalimu wote wa CCM
 
Mtajua mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Tutawafundisha adabu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Chukua dakika kumi halafu niambie faida ambayo CCM itaipata kwa upinzani kukosa Wabunge.
 
Mtake msitake, mpende msipende Magufuli anachukua nchi kwa mara nyingine tena. This time kwa >95%.
 
Kama ni issue ya majina kwa wagombea naomba unyamaze, maana ukristo na uislam Pombe ni haramu.
Achana na huyo CCM aliyokosa maarifa dawa ya watu wapenda kujadili majina ni kuwapa madongo tu siyo zaidi.
 
Bila CCM polepole kumtuma Bashite kwenda na akina cyprian Musiba kumpiga risasi Tundu lisu asingekwenda Belgium, ushetani wa CCM ndiyo umempa umarufu Tundu lisu
Wanafikiri yeye alipenda kwenda Belgium,amerudi wanaanza kumuita beberu jeusi lkn huwa ccm wengi nawapuuza tuu wapo tuu kichwani hamna ubongo wa kung'amua mambo wapo tuu wataenda tu.
 
Back
Top Bottom