Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Unemkimbiza Lisu DarMziki wa fiesta,wa kuwarubuni wasio kuwa na ajira.
Jana naskia walivotoka uwanjani pale Mkapa stadium wakawapeleka kibasila sijui kula ubwabwa. Ndio maana nchi hii umaskini hauwezi kuisha sababu viongozi wanapenda tuwe masikini na mabolizozo ili watutawale vzr ila safari hii watakiona cha moto hakuna kulala.Sisi hatufanyi huu upumbavu
msimu wa spana umerejeaWe back in business
wewe ni nani uwasemee watanzania wote?, sema wewe utampigia mtu fulani
Tundu anakamilisha ratiba
Umasikini ni chaguo lako wenyewe. Tanzania ni tajiri Bandari tu peke yake hivi sasa inaingiza mpunga wa kutosha sana na meli kubwa zinaweza kuingia bila kukuru kakara. Chuma kiko Ikuu hii ... .... .. kama hupendi nenda kajinyonge.Jana naskia walivotoka uwanjani pale Mkapa stadium wakawapeleka kibasila sijui kula ubwabwa.Ndio maana nchi hii umaskini hauwezi kuisha sababu viongozi wanapenda tuwe masikini na mabolizozo ili watutawale vzr ila safari hii watakiona cha moto hakuna kulala
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi Lissu
Umasikini ni chaguo lako wenyewe. Tanzania ni tajiri Bandari tu peke yake hivi sasa inaingiza mpunga wa kutosha sana na meli kubwa zinaweza kuingia bila kukuru kakara. Chuma kiko Ikuu hii ... .... .. kama hupendi nenda kajinyonge.
Usariti ni kuidanganya jamii eti mikataba ya madini wakati Tundu lisu alianza vita 1998 magufuli akiwa mbunge aliyepitisha mikataba mibovu Bungeni , mbona magufuli hakuanza vita tokea mwaka 1998 wakati anashiriki kupitisha vyote vibaya na sasa kaingia mikataba ya siri anabunya mwenyewe na waziri wa madini hakuna cha Noa alizoahidi wala nini, Usariti upo humo humo chamwino na chatoWatanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi Lissu
Live wanaioiweza ni CCM peke yao
Ona ushahidi kwenye huu Uzi .Eti Live wakati hakuna Live
Chadema mnatia aibu
CCM tukisema Live ni Live kweli
Mwambieni Tundu abadilishe hilo jina la Tundu linatia kichefuchefu sana kulitaja.Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana.
Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha Dunia kutokana na upendeleo wa waziwazi kuibeba CCM na kuikandamiza Chadema.
Tume hiyo imekataa hata kupokea malalamiko ya Chadema dhidi ya Mgombea wa CCM kwa kukiuka Maadili ya Uchaguzi.
Lissu anatarajiwa kupata mapokezi ya kishindo kutokana na hamu kubwa ya wananchi kutaka kumsikiliza baada ya kudhulumiwa haki yake ya kufanya kampeni kwa siku 7 ili kulinda CCM.
-------- ------- -------
Yanayojiri muda huu saa 5 asubuhi
Wananchi ktk jimbo la Bahi kata ya Bahi mkoa wa Dodoma baada ya kusikia mhe Rais Tundu Lissu atapita maeneo hayo kuelekea Singinda wameamua kumsubiri barabarani tangia saa moja asubuhi ili angalau waone sura yake tu
Jimbo hili tume ya CCM ilimuengua mgombea UBUNGE wetu kwa SABABU za kijinga kabisa!!
View attachment 1595493
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaKama ni propaganda CCM kiboko, sasa hivi wameliamsha kanda ya ziwa wanatafuta kura za lazima.
Usariti ni kuidanganya jamii eti mikataba ya madini wakati Tundu lisu alianza vita 1998 magufuli akiwa mbunge aliyepitisha mikataba mibovu Bungeni , mbona magufuli hakuanza vita tokea mwaka 1998 wakati anashiriki kupitisha vyote vibaya na sasa kaingia mikataba ya siri anabunya mwenyewe na waziri wa madini hakuna cha Noa alizoahidi wala nini, Usariti upo humo humo chamwino na chato
Baadae wataunga na picha za mafuriko ya Lowasa wanatuma kwenye mitandao.Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Moderators chadema wamekuwa waongo mn😵ndoeni hilo neno Live
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Kwa maneno hayo umefurahi chacha? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo nikuajiri kama huna kazi. Huo msemo umepitwa na wakati hapa kazi tu! Lazima mshike adabu na mnaendelea kusoma number.Wwe ni mpuuz na mchumia tumbo na unatetea sababu ni boss umepewa ukurugenzi hapo bandarini kwaiyo yako yanakuendea wewe na wenzio wote mlioteuliwa na nduli ni wakuogopwa ktk nchi yetu nyie ni wakoloni weusi ila mwaka huu tutawaonyesha.Yyte anaemtetea Magufuli ni adui wa Taifa na ni mchumia tumbo period.
Kumbe na mimi ni Robert!Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania