Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Amesha lambishwa mchanga Hadi Sasa.Kama CCM kupitia Mgombea wake hawatobadilika na kuzifanyia Kazi 'Changamoto' za Kimsingi basi 2025 na siyo 2020 Tundu Lissu atashinda Urais.
Waliopitisha mikataba ya hovyo no ccm,Tena hata sii kwa kificho Bali kwa kelele na kunyoosha mikono juu wakisema ndiooooo.Usariti ni kuidanganya jamii eti mikataba ya madini wakati Tundu lisu alianza vita 1998 magufuli akiwa mbunge aliyepitisha mikataba mibovu Bungeni , mbona magufuli hakuanza vita tokea mwaka 1998 wakati anashiriki kupitisha vyote vibaya na sasa kaingia mikataba ya siri anabunya mwenyewe na waziri wa madini hakuna cha Noa alizoahidi wala nini, Usariti upo humo humo chamwino na chato