Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Huyu Lissu kama ana jeuri basi aende Tanga aone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu adhabu aliyopewa alistahili kabisa maana huyu Jamaa yenu naye akiwa na kipaza anaongea kila kitu kinachokuja kichwani.
Kuhusu tume kupendelea, sidhani kama ilitarajiwa au mnatarajia wafanye tofauti na wanavyofanya....maana hiyo tume yenyewe inakumbushwa na kusimamiwa na hao hao Waajiri wao kutoa hizo adhabu....Panya hawezi kung'ata mkia wake.
Na mukitaka kuamini hayo basi leo Mgombea wenu akiwa Singida aongee kinyaturu kesho tuamke na press ya Mr Slow akilaani ukabila huku akiiagiza tume ichukue hatu stahiki.
Huyu Lissu kama ana jeuri basi aende Tanga aone
Dodoma ile inayoongoza kwa wananchi wake wanao omba ombaDodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Njia nyeupe ya kwenda kwa AmsterdamKaribu ukaya munyampaa!
Vivaa munyampa
Singida Guntuuu...
Tundu Lissu Guntuuu.....!
Kila la heri Mh. Rais mtarajiwa,njia nyeupe kwako.
Alafu ni mikoa ambayo watu wake ni maskini na wangonye wa kuchoka. Tena wavivu sana lau ruvuma wana afadhali lakini dom na pwani ahhaaagghMkoa wa wenyeji wasiojitambua, ni kati ya mikoa 3 ambayo haijawahi kuchagua wapinzani kama sijakosea ( Dodoma, Ruvuma na Pwani)
Bila kusahau vipofu wa macho na akili wamejaa huko.Dodoma ile inayoongoza kwa wananchi wake wanao omba omba
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Chagueni Chadema, maendeleo hayana chama
Ni kati ya mikoa maskini tz na mzunguko wa hela upo chini sana huko bila kusahau ushirikina ni bora asiende wasijemroga bureHuyu Lissu kama ana jeuri basi aende Tanga aone
Chato mlisema ni ngome ya MagufuliDodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Kamfute nnya yule Mzee wako wa kujinyea nyea kwanza ndiyo urudi hapaDodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Cha oia mlisema hana chake, lakini hadi Dada zake magufuli walimpokea Lissu.Dodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Tumeccm hawataki kupokea malalamiko ya chadema dhidi ya faulu za CCM kwa chadema kwa nini? Tukisema Hiyo ni Tumeccm NECCCM chombo binafsi cha CCM cha CCM wanalalamikaZinaanza upyaaaaah!!!!!View attachment 1595617
sawa sawaDodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Mbona wewe ndiyo huijui Dodoma, kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za polepole na mtukufu ndiyo kuijua Dodoma?Mmeshaanza na kazi ya utabiri kama hayati Sheikh Yahya sio? Eti anatarajiwa kupata mapokezi "Makubwa" ha ha ha ha huijui Dodoma wewe