Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Hapo ndo pakujiuliza bwashee.

ila watanzania tushamjua Lissu ni kibaraka wa mabebberu na atopata kura za Watanzania.
 
Unamfundisha gwiji wewe?
Screenshot_20201008-201533.jpg
 
Lissu asifanye upumbavu na ujinga wa kutumia kinyaturu atakapokuwa Sindiga kama wa yule asiyejua kuongea kwa kiingereza aliyeongea kisukuma kule kanda ya nyonyo

Kuna kosa gani kutumia kinyaturu japo kuwasalimu? Shida ya ngosha ni kujisahau na kutumia kilugha kupitiliza
 
Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo

Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Unafikiri Ni kwa Nini Dodoma Hali iko hivi. Ni mkoa maskini Sana lakini CCM ndiko imeweka kambi!
 
Kuhusu adhabu aliyopewa alistahili kabisa maana huyu Jamaa yenu naye akiwa na kipaza anaongea kila kitu kinachokuja kichwani.

Kuhusu tume kupendelea, sidhani kama ilitarajiwa au mnatarajia wafanye tofauti na wanavyofanya, maana hiyo tume yenyewe inakumbushwa na kusimamiwa na hao hao Waajiri wao kutoa hizo adhabu. Panya hawezi kung'ata mkia wake.

Na mukitaka kuamini hayo basi leo Mgombea wenu akiwa Singida aongee kinyaturu kesho tuamke na press ya Mr Slow akilaani ukabila huku akiiagiza tume ichukue hatu stahiki.
 
Back
Top Bottom