Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Sasa Chato mbona mbunge ni CCM, na siyo ChademaChato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Chato mbona mbunge ni CCM, na siyo ChademaChato
upewe tunzo ya chuki binafsi hatari LowassaHana jipya kibaraka wa wabelgiji
TAHADHARI: Nilipita huko Twitter nikakumbushwa juu ya uchapishaji wa makaratasi ya kupigia kura pamoja na fomu za matokeo. Kule Kenya mwaka 2016 walipokua wanajiandaa na uchaguzi mkuu, hiyo ilikuwa ishu kubwa.Asante sana Kamanda Mtifu Molemo, tumeingia usiku sana hapa na asubui ya leo ni shamra shamra sana hapa Dodoma
People's ya miaka na miaka inaitwa jina hilo,leo imebadilishwa?Nipo singida nitafika people's stadium japokuwa waliubadili jina na eti kuwa bombardiers
Kweli, Mie ni shuhuda kwa Jiji la Dar es salaam.Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Na trafiki hawakulikamata hilo lorry la.kubebea magari likabeba wana ccm!!! Vituko vya ccm ni vya wazi bila aibu kabisa!Sisi hatufanyi huu upumbavu
Ni kweli Furaha imerejea kwa Sisi wafanyabiashara wa Dar,pita pita yake katika biashara zetu ilikuwa kero tu.Nchi inazizima na kusimama tena..FURAHA IMEREJEA
Chaguo la wengi ni chaguo la Mungu!Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana.
Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha Dunia kutokana na upendeleo wa waziwazi kuibeba CCM na kuikandamiza Chadema.
Tume hiyo imekataa hata kupokea malalamiko ya Chadema dhidi ya Mgombea wa CCM kwa kukiuka Maadili ya Uchaguzi.
Lissu anatarajiwa kupata mapokezi ya kishindo kutokana na hamu kubwa ya wananchi kutaka kumsikiliza baada ya kudhulumiwa haki yake ya kufanya kampeni kwa siku 7 ili kulinda CCM.
View attachment 1595493
Nchi inazizima na kusimama tena..FURAHA IMEREJEA
Natoa nauli AMA najaza mafuta namfuata,sisubiri nipakiwe kwenye lori la mizigo kama weweMtapata tabu saana misukule wa Lissu
Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Moderators chadema wamekuwa waongo mn😵ndoeni hilo neno Live
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Naitunza comment yako. Nitarejea baadaeDodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
aibu utaipata wewe na nalichama lakoDodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Acha uchoyo weka pichaAsante sana Kamanda Mtifu Molemo, tumeingia usiku sana hapa na asubui ya leo ni shamra shamra sana hapa Dodoma
Kakuambia nani, mimi sio kifurushi cha mkaa ka weweLakini na wewe si utakua umesafirishwa!!