hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Hapo tu hatulipiii JF una makomandi hivyo
Tungekuwa tunalipia sijui ingekuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Yaani wewe ndio unataka mikutano ya chadema ili iweje?Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Acha wivuDodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Utashudia mwenyeweDodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu
Kule umaskini Huko Kongwa kwa Job Ndugai na Bahi kwa yule mtangazaji wa TBC ni balaa.na ndio maana wazawa wa dom mafukara hatari, huwezi kukumbatia CCM halafu ukabaki salama!
HahahaaWajiandae kujibu tena spana za TLisu, na alivyo na mzuka, hawatapumua
Comments nyingine huwa mtu utataman uje usikute manake zunakudhalilishaDodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Today is World's Mental Disorder DayHivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?
Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Mkoa wa wenyeji wasiojitambua, ni kati ya mikoa 3 ambayo haijawahi kuchagua wapinzani kama sijakosea ( Dodoma, Ruvuma na Pwani)Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Wazawa wa wapi matajiri?
Lissu asifanye upumbavu na ujinga wa kutumia kinyaturu atakapokuwa Sindiga kama wa yule asiyejua kuongea kwa kiingereza aliyeongea kisukuma kule kanda ya nyonyoKaribu ukaya munyampaa!
Vivaa munyampa
Singida Guntuuu...
Tundu Lissu Guntuuu.....!
Kila la heri Mh. Rais mtarajiwa,njia nyeupe kwako.