Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Huyo Lissu katumwa na huyo Robert Amstadarm, ww sasa kazana kumpigia debe utaona yajayoView attachment 1595538
Kule kwenye Group za Whatsapp huwa mnatamba kwa kutuma huu ujinga mnakosa wa kuwajibu kwa sababu ya hofu ya kuwabambikia kesi, humu sasa lazima tuwajibu hivi CCM wakienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?

Moderators chadema wamekuwa waongo mn😵ndoeni hilo neno Live

Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Unaumia Nini,nyie
Hivi wewe mleta mada unajua maana ya Live?

Moderators chadema wamekuwa waongo mn😵ndoeni hilo neno Live

Wataleta mipicha yao ya kufoji jioni toeni hiyo live
Unaumia Nini,live ya wenzio ndio hiyo,kwani nyie mmegeuza TV stations zote na zile za redio ziwe live kwa ajili yenu,kisa hofu ya kuadhibiwa .Vivyo wewe tulia hangaika na ya kwenu.
 
Live wanaioiweza ni CCM peke yao

Ona ushahidi kwenye huu Uzi .Eti Live wakati hakuna Live

Chadema mnatia aibu

CCM tukisema Live ni Live kweli
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Watanzania wa wapi unawasemea? au ni watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba mnajidanganya? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
Kweli, Mie ni shuhuda kwa Jiji la Dar es salaam.

Nilikuwa hapa Mlimani City Mall, Jamaa akafika aisee hakuamini kila mtu alikuwa hana shobo na yeye.

Baada ya kutoka wakaanza kuzungumza huyu boya kutuletea Nuksi hapa ndani.

Nilicheka sana.

Huwezi kubetray our motherland kwa wazungu.Tukabaki kucheka na wewe.
Kuna umri ukifika ukawa una vijistory vya kuungauunga unaonekana upeo wako finyu. Hii sio kweli nasema nilikuwepo mpaka anaingia ndani supermarket huku nje kulikuwa na umati wa watu wanataka angalau kumshika mkono na kupiga nae picha. Njoo na uongo mwingine
 
Kweli, Mie ni shuhuda kwa Jiji la Dar es salaam.

Nilikuwa hapa Mlimani City Mall, Jamaa akafika aisee hakuamini kila mtu alikuwa hana shobo na yeye.

Baada ya kutoka wakaanza kuzungumza huyu boya kutuletea Nuksi hapa ndani.

Nilicheka sana.

Huwezi kubetray our motherland kwa wazungu.Tukabaki kucheka na wewe.
Kwani ukisema ukweli tu utakuwa na hatia?
 
Unaumia Nini,nyie
Unaumia Nini,live ya wenzio ndio hiyo,kwani nyie mmegeuza TV stations zote na zile za redio ziwe live kwa ajili yenu,kisa hofu ya kuadhibiwa .Vivyo wewe tulia hangaika na ya kwenu.
Mumeshindwa kuweka hata Live YouTube kweli nyie choka mbaya
 
Suala la Chato na kuweka dhamana madini tunatakiwa kuepuka siku ishirini zilizo baki, kuna propaganda inauzwa Kanda ya Ziwa muda huu na naona inawakamata akili zao. Wana siasa ni watu hatari sana.
 
Lisu baada ya kuona mziki wa Magufuli Jana uwanja wa taifa Dar Akakimbia mji usiku ule ule wa jana kuelekea Dodoma kukiwa giza
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert
Watanzania wa wapi unawasemea? au ni watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba mnajidanganya? Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
Kuna umri ukifika ukawa una vijistory vya kuungauunga unaonekana upeo wako finyu.Hii sio kweli nasema nilikuwepo mpaka anaingia ndani supermarket huku nje kulikuwa na umati wa watu wanataka angalau kumshika mkono na kupiga nae picha.Njoo na uongo mwingine
Kuna watu waongo sana, sasa yaliyotokea Jana kwa mkapa wanabisha kwamba watu hawakutoka, Nilikuwepo uwanjani CCM wamewajaza wanachuo kwa posho tena wametengwa kwa vizimba kama mifugo, ili wasitoke Kazi yao ilikuwa kushangilia kila kitu, Nilishangaa mpaka alipowadhalilisha wanawake weusi wanachuo walishangilia. CCM imekataliwa na wengi ila kwa mabavu ya dola wanalazimisha kukubalika.
 
Live wanaioiweza ni CCM peke yao

Ona ushahidi kwenye huu Uzi .Eti Live wakati hakuna Live

Chadema mnatia aibu

CCM tukisema Live ni Live kweli
Live ya CCM ni live ya kubaka live ya kutumia pesa za umma kutumia rasilimali za umma kwa mambo binafsi ya CCM, haiwezekani TBCCCM walipwe mishahara kwa pesa za walipa kodi lakini imekuwa chombo binafsi cha CCM kana kwamba wanalipwa mishahara na polepole, chadema wanakutia Aibu ipi? Chadema siyo matajiri hawana vyombo vya dola lakini kutwa mnawahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na uonevu unyanyasaji wa kila aina, CCM ndiyo umesababisha chadema kupendwa kutokana na mambo mengi ya hovyo wanayowafanyia Chadema.
 
Back
Top Bottom