Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Msaliti wa Nchi Lissu asingeyatetea Mabeberu kila Mtanzania angepata noah

Ila badala ya Rais Magufuli kutugawia noah ametuletea haya

Umeme kila kijiji Tanzania
Zahanati kila kijiji Tanzania
Elimu bure
Viwanda
Ajira
Reli ya kisasa
Barabara za lami kila kona

Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania, October 28 Magufuli ushindi ni 98%
Acha ufala wewe mbweha lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 wakati magufuli anapitisha mikataba mibovu na huyo huyo magufuli katengeneza mikataba mibovu mipya ya siri ya kumnufaisha yeye binafsi usaliti upo huko huko ccm acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kwa vitu ambavyo vipo wazi kwa kisingizio cha usaliti wa kulazimisha kisa umeahidiwa uteuzi.
 
Gereji za uswahilini bwana, yaani mtu unapeleka gari yako wanaanza kuipiga nyundo hata hawajajua tatizo nn. Ni mwendo wa NGO NGO NGO ngooooo
 
Kumtia mtu moyo n sawa ila msimdanganye. Yeye uraisi hatapata neither you will be a member of parliament.
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Mtajua mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Tutawafundisha adabu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Hilo Zimwi unalo liabudu subiri litakavyo yeyushwa na hilo neno wabunge wawili kama anauwezo azuwie kama serikali za mitaa aone moto na hivi halijui lugha litajificha kolomije kwani Chato linasanifika tu watu hawalilendi
 
Ndio lissu alikuwa anawatetea bungeni Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Shukrani kwa Rais Magufuli kututetea Watanzania, sasa tunafaidika na madini yetu

Msaliti wa Nchi Lissu akapigiwe kura na wale aliokuwa anawatetea
Acha ufala wewe mbweha lisu kaanza kupiga kelele mwaka 1998 wakati magufuli anapitisha mikataba mibovu na huyo huyo magufuli katengeneza mikataba mibovu mipya ya siri ya kumnufaisha yeye binafsi usaliti upo huko huko ccm acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kwa vitu ambavyo vipo wazi kwa kisingizio cha usaliti wa kulazimisha kisa umeahidiwa uteuzi.
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Na akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike

Chadema mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera

Mwaka huu tunawafundisha adabu Chadema kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Hilo Zimwi unalo liabudu subiri litakavyo yeyushwa na hilo neno wabunge wawili kama anauwezo azuwie kama serikali za mitaa aone moto na hivi halijui lugha litajificha kolomije kwani Chato linasanifika tu watu hawalilendi
 
Ndio lissu alikuwa anawatetea bungeni Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Shukrani kwa Rais Magufuli kututetea Watanzania, sasa tunafaidika na madini yetu

Msaliti wa Nchi Lissu akapigiwe kura na wale aliokuwa anawatetea
Magufuli kuwatetea watanzania wa wapi? au watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Mikataba mipya ya madini ni mibovu na ni ya siri anayo mwenyewe huko chamwino na chato imejaa usaliti hakuna unafuu wowote mnufaika wa madini ni yeye binafsi na wewe kibaraka wake.
 
Magufuli ametutea Watanzania sasa tunafaidika na madini yetu

Msaliti wa Nchi Lissu ameishia kuaibika, laana zitamtafuna kwa usaliti wake
Magufuli kuwatetea watanzania wa wapi? au watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Mikataba mipya ya madini ni mibovu na ni ya siri anayo mwenyewe huko chamwino na chato imejaa usaliti hakuna unafuu wowote mnufaika wa madini ni yeye binafsi na wewe kibaraka wake.
 
Ndugu Molemo na wanachadema,

Nawafahamisha kuwa kuanzia leo tutaona tofauti, na huo ndio ukweli.
 
Lissu hajawahi kutetea Watanzania, yeye alikuwa anawatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Lissu ni msaliti wa Nchi, Usaliti kwa Nchi ni laana atajuta milele
Wewe Abunwasi kweli Lisu amewekwa ndani akitetea wananchi wasiporwe madiniiaka hiyo leo unamwita hivyo huelewi kitu
 
Msaliti wa Nchi Lissu asingeyatetea Mabeberu kila Mtanzania angepata noah

Ila badala ya Rais Magufuli kutugawia noah ametuletea haya

Umeme kila kijiji Tanzania
Zahanati kila kijiji Tanzania
Elimu bure
Viwanda
Ajira
Reli ya kisasa
Barabara za lami kila kona

Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania, October 28 Magufuli ushindi ni 98%
Unavyovitaja vyote hivi vimetokana na ufadhili au mikopo kutoka kwa wale unaowaita mabeberu. Mikataba ya huo ufadhili au mikopo mingi ilisainiwa wakati wa Mkapa na kikwete. Kwa hiyo hongera siyo kwa Jiwe tu.
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wenu ni October

Rais Magufuli ndio ametoa pesa zote hizo
Unavyovitaja vyote hivi vimetokana na ufadhili au mikopo kutoka kwa wale unaowaita mabeberu. Mikataba ya huo ufadhili au mikopo mingi ilisainiwa wakati wa Mkapa na kikwete. Kwa hiyo hongera siyo kwa Jiwe tu.
 
Punguza upoyoyo wewe hiyo hajaweka mleta mada....BTW ni tukio live kwakuwa mhusika muda huu yuko njiani kuelekea kwenye maeneo husika
Yaani hiyo ndiyo live maana yake? Uelewa wako ni mdogo sana endelea na kupiga lamli tu haya mengine huyawezi.
 
Back
Top Bottom