Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Mkuu mie ni mtu objective sana sio fuata upepo. CHADEMA nimeipenda for a reason, tokea nipo Darasa la sita enzi hizo tuna wabunge wawili tu. Na kikubwa walivyotetea maslahi ya wananchi bungeni so nmependa utendaji kazi wao sio organaizesheni ya chama eg majengo,Uongozi,mikakati n.k

Kuhusu post yako, ule ulikua ushauri zaidi hasa kwa uongozi wa chama. So sikuona haja ya kujibu maana ushauri ni mtizamo wa mtu. Mfano unasema wawape wagombea wanasheria ili wajaze fomu ila hujiulizi tokea 1995 hujawahi sikia mgombea wa CHADEMA kaenguliwa kisa fomu ila wote wamekosea 2020? Kiwanga kagombea mara ngapi? Ila ni 2020 tu hajui kujaza fomu? Unasahau fomu huwa zinahakikiwa kabla hazijapokelewa!!

Maadam ni ushauri I have no much to comment.
 

CCM imechangia kudumaza ufahamu wa watanzania.​

 
Hapo ndo pakujiuliza bwashee.
ila watanzania tushamjua Lissu ni kibaraka wa mabebberu na atopata kura za watanzania.
Ina maana Mimi na familia yangu tutakaompa kura Lisu ni wahutu?.acha ubaguzi dogo nchi sio ya ccm.
 
Kumbukeni kumshauri ili ofisi yake ya uwakili iliyopo sinza aifagie - kuanzia 01 Novemba, 2020 ataweza kuanza kazi ya uwakili - siasa imefika mwisho ila maisha yanaendelea
Chagua Lisu,tupate katiba Mpya kwanza nchi isonge mbele,ili wananchi ndio tuwe mabosi Wa Rais, kwa kuwa bila sisi kumchagua haendi ikulu.lakini katiba ya sasa ilivyombovu Rais akishaapishwa tu anaanza kutufokea.huo uwenyekit Wa mtaa ulioupata mwaka Jana kwa kupita bila kupingwa usikufumbe macho we mlugaluga.
 
Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Anasaidiwa ili msiweze KUMCHAPA MVUA ZA RISASI tena, saa ya ukombozi ni sasa.
 
Nani alimchapa?? mbona siku hizi anazurura hovyo mpaka kariakoo na hajachapwa??
Sasahivi dunia yote macho kwake, mtawezaje kufanya huo ujinga tena? Hamjipendi? Chagua Lissu watoto wako wawe na uhakika wa kuishi, usalama ni muhimu mno kuliko hayo "MAFLIOVER" NA MADARAJA.
 
Tanzania msaliti wa Nchi km lissu hana nafasi, akadeke ubeligiji
Ww jamaa tumia verified name tu au weka namba ya simu Kama Mayala.
Maana ushapita level ya buku Saba unajituma sana.

Haki huinua TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…