Huna takwimu wewe uchaguzi wa 2014 huko Ikungi alibeba vijiji 92% kiufupi ndio alikua mbunge wa CHADEMA aliyeshinda vijiji kuliko wote.
Leo hakuna picha za nyomi watu kam kokoto?
Mbona makamanda mpo kimya sana au ndo hivyo nabii hakubaliki kwao?
Nimeona sehemu analazimisha wazee waongee wakati wazee wenyewe wanakula pozi zao
Mwambie awarudishe mwamakula na katimba waendeleze tunguri ili apate nyomi
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Sasa aanze kujifunza busara katika uchaguzi wa maneno yake; akiendelea kuropoka atajikuta matatizoni tena. Kuwa rais wa nchi ni jukumu linalohitaji busara sana
Hapo sawaMwaka huu mtapasuka.....
Mbona hii ni ile ya kwanza alokuja kutoka uberigiji?Mwaka huu mtapasuka.....
Mbona hii ni ile ya kwanza alokuja kutoka uberigiji?
Mmeanza sanaa?
Ila bado ni kidogo kama yupo kwao, hao watu ni kidogo sana.View attachment 1596395View attachment 1596396
Hii nyomi ya kokoto ni ile katoka ubelgiji kuja kusalimia wazee wake.
Huna takwimu wewe uchaguzi wa 2014 huko Ikungi alibeba vijiji 92% kiufupi ndio alikua mbunge wa CHADEMA aliyeshinda vijiji kuliko wote.
Uenyekiti wa kanda akataliwe afu apewe umakam uenyekiti na ugombea Urais? Unajielewa kweli?
Unapoanzisha matusi usifikiri ni wewe peke yako unaeyajua.Baba yangu ni marehemu (kama inakufurahisha). Ukweli ni kwamba Magufuli alimwomba Sugu amsugue. Na hiyo ilikuwa ni TBC mubashara. Hayo mengine unachangamsha genge tu. Unaonyesha tu ujinga wako.
Hupajui Ikungi wewe? Hao ni watu wengi kupitiliza kwa mji mdogo kama IkungiIla bado ni kidogo kama yupo kwao, hao watu ni kidogo sana.
Acheni kujitetea.Hupajui Ikungi wewe? Hao ni watu wengi kupitiliza kwa mji mdogo kama Ikungi
Leo hakuna picha za nyomi watu kam kokoto?
Mbona makamanda mpo kimya sana au ndo hivyo nabii hakubaliki kwao?
Nimeona sehemu analazimisha wazee waongee wakati wazee wenyewe wanakula pozi zao
Mwambie awarudishe mwamakula na katimba waendeleze tunguri ili apate nyomi
Uberigiji ndio nini? kajifunze kuandika ndio uje hapaMbona hii ni ile ya kwanza alokuja kutoka uberigiji?
Mmeanza sanaa?
Dodoma hana chake pale. Ataambulia aibu tu.
Mimi ningeamini ungeleta taarifa ukiwa huna upande maana umeanza vema ila kumalizia rangi yako ikaonekana.Kweli, Mie ni shuhuda kwa Jiji la Dar es salaam.
Nilikuwa hapa Mlimani City Mall, Jamaa akafika aisee hakuamini kila mtu alikuwa hana shobo na yeye.
Baada ya kutoka wakaanza kuzungumza huyu boya kutuletea Nuksi hapa ndani.
Nilicheka sana.
Huwezi kubetray our motherland kwa wazungu.Tukabaki kucheka na wewe.
wenzio wanalinganisha na Magufuli ambaye malori yanasomba watu kutoka Dodoma na Singida mjini kujaza uwanjaHupajui Ikungi wewe? Hao ni watu wengi kupitiliza kwa mji mdogo kama Ikungi