Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Leo hakuna picha za nyomi watu kam kokoto?

Mbona makamanda mpo kimya sana au ndo hivyo nabii hakubaliki kwao?

Nimeona sehemu analazimisha wazee waongee wakati wazee wenyewe wanakula pozi zao

Mwambie awarudishe mwamakula na katimba waendeleze tunguri ili apate nyomi
 
Sasa aanze kujifunza busara katika uchaguzi wa maneno yake; akiendelea kuropoka atajikuta matatizoni tena. Kuwa rais wa nchi ni jukumu linalohitaji busara sana
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii ni ile ya kwanza alokuja kutoka uberigiji?
Mmeanza sanaa?
2483317_IMG_20200810_110707.jpg
2483316_IMG_20200810_110731.jpg

Hii nyomi ya kokoto ni ile katoka ubelgiji kuja kusalimia wazee wake.
 
Huna takwimu wewe uchaguzi wa 2014 huko Ikungi alibeba vijiji 92% kiufupi ndio alikua mbunge wa CHADEMA aliyeshinda vijiji kuliko wote.
Uenyekiti wa kanda akataliwe afu apewe umakam uenyekiti na ugombea Urais? Unajielewa kweli?

We jamaa znakutosha kweli kichwa? kwan unadhan ilikua ni siri? je unajua kura za awali chadema, wakati nyalandu akagombea kitu vs lissu unajua lissu alipigiwa kura ngap? niendelee ama niishie ama!
 
Baba yangu ni marehemu (kama inakufurahisha). Ukweli ni kwamba Magufuli alimwomba Sugu amsugue. Na hiyo ilikuwa ni TBC mubashara. Hayo mengine unachangamsha genge tu. Unaonyesha tu ujinga wako.
Unapoanzisha matusi usifikiri ni wewe peke yako unaeyajua.
 
Leo hakuna picha za nyomi watu kam kokoto?
Mbona makamanda mpo kimya sana au ndo hivyo nabii hakubaliki kwao?
Nimeona sehemu analazimisha wazee waongee wakati wazee wenyewe wanakula pozi zao
Mwambie awarudishe mwamakula na katimba waendeleze tunguri ili apate nyomi

Hakuna nyomi, mvua wala mafuriko ... 😅😅
 
Kifungo kimemalizika. Tafakari chukua hatua:



Kila mgombea atapimwa kwa kauli zake.

Mbivu au mbichi hazikuwahi kujificha.
 
Kweli, Mie ni shuhuda kwa Jiji la Dar es salaam.

Nilikuwa hapa Mlimani City Mall, Jamaa akafika aisee hakuamini kila mtu alikuwa hana shobo na yeye.

Baada ya kutoka wakaanza kuzungumza huyu boya kutuletea Nuksi hapa ndani.

Nilicheka sana.

Huwezi kubetray our motherland kwa wazungu.Tukabaki kucheka na wewe.
Mimi ningeamini ungeleta taarifa ukiwa huna upande maana umeanza vema ila kumalizia rangi yako ikaonekana.

Hivi pale Mlimani city ulitaka watu wajazane kumfuata kama kariokoo umesahau yale ni maeneo yenye hadhi tofauti?
 
Back
Top Bottom