Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
Safari hii lazima utauza hilo jicho la tope hapo uani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii lazima utauza hilo jicho la tope hapo uani.
Bia yetu kachanganyikiwa kabisa, sidhani kama usiku usingizi anaupata kweli?Safari hii lazima utauza hilo jicho la tope hapo uani.
Kwa kuwa viongozi waliokuwepo walitambua uwepo wa vyama vingi sio uadui, bali ni mfumo wa kidemokrasia, ambao tumeuchagua, sasa iweje leo uonekane ni uadui? Utake kurudisha watu miaka karibu 30 nyuma? Kisa hutaki mawazo mbadala!! Ndio maana wenye akili lazima wakemee!! Kwa hali ya sasa bora hata tulipokuwa tupo chini ya mkoloni mweupe kuliko huyu mkoloni mweusi!!Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Kwa kuwa viongozi waliokuwepo walitambua uwepo wa vyama vingi sio uadui, bali ni mfumo wa kidemokrasia, ambao tumeuchagua, sasa iweje leo uonekane ni uadui? Utake kurudisha watu miaka karibu 30 nyuma? Kisa hutaki mawazo mbadala!! Ndio maana wenye akili lazima wakemee!! Kwa hali ya sasa bora hata tulipokuwa tupo chini ya mkoloni mweupe kuliko huyu mkoloni mweusi!!
Wacha kuweka picha za kuungaunga wewe yalama!
Wamasai wa monduliWazawa wa wapi matajiri?
Wacha kuweka picha za kuungaunga wewe yalama!
Duh, ila kazi mliopewa kubwa sana tena ya aibu?Aliyeisaliti Nchi yake ndiye shetani
Duh, ila kazi mliopewa kubwa sana tena ya aibu?
Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha🤔?Phd holder halafu mwalimu basi itakuwa alikuwa anadanganya wanafunzi kwa kiingereza kile
Hata ile basic english jamaa hajui yani kuunga gramar ni shida.Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha[emoji848]?
Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo[emoji1]), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
Hivyo ni vitu viwili tofauti,au na wewe ulisoma shule moja na mgombea wenu,enzi hizo mnafundishwa na walimu Wa UPE,yaani UALIMU PASIPO ELIMU.Tundu kwa maana nyengine ni Tobo.
Kwa hiyo tundu wenu ni tobo.
Phd ina maandiko na utetezi mkubwa kwahiyo lugha unayoitumia kufanyia utetezi wako haitakiwi itie shaka vilevile ukumbuke jiwe alikuwa mwalimu na lugha iliyokuwa inatumika kufundishia ni kiingereza kwahiyo nacho hakitakiwi kitie shaka labda kama elimu yake ni fakeKwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha🤔?
Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo😄), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
Embu tueleze ameisaliti vipi hiyo Tanzagiza Mh.Lissu?Aliyeisaliti Nchi Ndio anapata aibu