Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Kwa kuwa viongozi waliokuwepo walitambua uwepo wa vyama vingi sio uadui, bali ni mfumo wa kidemokrasia, ambao tumeuchagua, sasa iweje leo uonekane ni uadui? Utake kurudisha watu miaka karibu 30 nyuma? Kisa hutaki mawazo mbadala!! Ndio maana wenye akili lazima wakemee!! Kwa hali ya sasa bora hata tulipokuwa tupo chini ya mkoloni mweupe kuliko huyu mkoloni mweusi!!
 
Huyo mropkaji wenu na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
Kwa kuwa viongozi waliokuwepo walitambua uwepo wa vyama vingi sio uadui, bali ni mfumo wa kidemokrasia, ambao tumeuchagua, sasa iweje leo uonekane ni uadui? Utake kurudisha watu miaka karibu 30 nyuma? Kisa hutaki mawazo mbadala!! Ndio maana wenye akili lazima wakemee!! Kwa hali ya sasa bora hata tulipokuwa tupo chini ya mkoloni mweupe kuliko huyu mkoloni mweusi!!
 
Wacha kuweka picha za kuungaunga wewe yalama!
20201010_153231.jpg
 
Haya ndiyo mahaba ya kweli ya wapigakura kwa kiongozi wao mpendwa. Si yale ya wale wakora ya kutuharibia "pitch" ya uwanja mzuri wa Benjamin William Mkapa kwa upuuzi na unajisi wao.
 
Phd holder halafu mwalimu basi itakuwa alikuwa anadanganya wanafunzi kwa kiingereza kile
Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha🤔?

Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo😄), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
 
Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha[emoji848]?

Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo[emoji1]), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
Hata ile basic english jamaa hajui yani kuunga gramar ni shida.
Sasa phd holder hata kuunda sentensi hawezi usitetee ujinga.
 
Tundu kwa maana nyengine ni Tobo.

Kwa hiyo tundu wenu ni tobo.
Hivyo ni vitu viwili tofauti,au na wewe ulisoma shule moja na mgombea wenu,enzi hizo mnafundishwa na walimu Wa UPE,yaani UALIMU PASIPO ELIMU.

Au we in matokeo ya BRN, yaani big result now.
 
Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha🤔?

Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo😄), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
Phd ina maandiko na utetezi mkubwa kwahiyo lugha unayoitumia kufanyia utetezi wako haitakiwi itie shaka vilevile ukumbuke jiwe alikuwa mwalimu na lugha iliyokuwa inatumika kufundishia ni kiingereza kwahiyo nacho hakitakiwi kitie shaka labda kama elimu yake ni fake
 
Back
Top Bottom