Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Fix hakuna Tanzania nzima kijiji chenye watu wengi hivyo hakipo

Uongo uongo uongo

Pekekeni hiyo picha kudanganya wazungu na wao wanajua iwe ulaya au marekani au afrika hakuna kijiji hata kimoja chaweza kuwa na watu wengi hivyo

Uongo wenu uko wazi mno
We jamaa utaugua kichaa sio muda mrefu 😂😂😂
 
Fix hakuna Tanzania nzima kijiji chenye watu wengi hivyo hakipo

Uongo uongo uongo

Pekekeni hiyo picha kudanganya wazungu na wao wanajua iwe ulaya au marekani au afrika hakuna kijiji hata kimoja chaweza kuwa na watu wengi hivyo

Uongo wenu uko wazi mno
Labda wamebebwa na matela ya trekta kama wafanyavyo CCM!🤣🤣🤣
 
Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo

Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Vipi Tamasha letu la uwanj wa taifa lilifana au ndio mlikatazwa kupiga picha na drones?
 
Labda wamebebwa na matela ya trekta kama wafanyavyo CCM!🤣🤣🤣
Haina shida kinachotakiwa tu kuwa mkweli kusema hao waliokusanyika hapo ni wana kijiji ni uongo angesema wanakijiji na watoka vijiji vingine na sehemu mbali mbali za Singida walioungana na wana kijiji kumpokea wala isingekuwa kesi .Hiyo nyomi huwezi danganya mzungu wala mwarabu wala mhindi wala mwafrika kuwa hivyo nyomi ni wana kijiji kimoja !!! Uongo
 
View attachment 1596065
Bia Yetu Mke wangu utakufa na kijiba cha roho! Ona mkutano tulivyokuwa imejaa! Nilishakwambia mke wangu Lissu hakamatiki!
20201010_155603.jpg
 
Kwani alisoma linguistics? PhD holder wa kila nchi duniani ni lazima ajue Kiingereza kwa ufasaha🤔?

Science is not only being capable in English Language, kwahiyo swala la kusema alikuwa anawadanganya wanafunzi sidhani Kama ni sahihi, hichohicho anachokijua kinatosha. Kama utakuwa mbishi nenda high schools tafuta wanafunzi waliotokea shule zisizowaandaa Sana kwenye Kiingereza(yeboyebo😄), afu waangalie uwezo wao kwenye masomo kisha compare na hao wenu mayai wanaomwanga ngeli.
Magu alikuwa mwalimu na lugha ya kufundishia somo lake ni kimalkia, PhD alifanya kwa kimalkia hivyo hatukutegemea awe hakiwezi kimalkia! Kwa kimalkia kile kwa vyo vyote vile hakuna mwanafunzi aliyemuelewa! Ndiyo sababu Ben Saanane alitilia shaka PhD yake kwa sababu hakuna professor anayeweza kumwelewa!
 
Fix hakuna Tanzania nzima kijiji chenye watu wengi hivyo hakipo

Uongo uongo uongo

Pekekeni hiyo picha kudanganya wazungu na wao wanajua iwe ulaya au marekani au afrika hakuna kijiji hata kimoja chaweza kuwa na watu wengi hivyo

Uongo wenu uko wazi mno
20201010_153231.jpg
 
Haina shida kinachotakiwa tu kuwa mkweli kusema hao waliokusanyika hapo ni wana kijiji ni uongo angesema wanakijiji na watoka vijiji vingine na sehemu mbali mbali za Singida walioungana na wana kijiji kumpokea wala isingekuwa kesi .Hiyo nyomi huwezi danganya mzungu wala mwarabu wala mhindi wala mwafrika kuwa hivyo nyomi ni wana kijiji kimoja !!! Uongo
Unaumia vumilia tu.
 
Back
Top Bottom