Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Sawa lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ni chama cha ukoo ambacho kinamtajirisha yeyote aliye Mchaga kama sio Mbowe. Na kibaya zaidi ndie huyu huyu Mbowe alikuja humu na kutaka watu watumie majina yao binafsi kabla ya kujibinafsisha JF kuwa mali yake.Hizo Mbuni dhaifu za kukisingizia Chadema kuwa ni Chama cha Wachaga ni ujinga wa kizamani