Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Hizo Mbuni dhaifu za kukisingizia Chadema kuwa ni Chama cha Wachaga ni ujinga wa kizamani
Sawa lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ni chama cha ukoo ambacho kinamtajirisha yeyote aliye Mchaga kama sio Mbowe. Na kibaya zaidi ndie huyu huyu Mbowe alikuja humu na kutaka watu watumie majina yao binafsi kabla ya kujibinafsisha JF kuwa mali yake.
 
Tuko tayari tutawaliwe na Wachaga kuliko kutawaliwa tena na CCM iliyooza.
 
Watanzania sio wajinga.

1602438089784.png

1602438109519.png

1602438129063.png

1602438178620.png

Hapa Kazi tu!
 
Sisi tunazitumia kama hupendi jinyonge.
Ninyi ni pasenti kidogo sana sisi tulio wengi hatuwezi kuzipanda kujinyonga hatuwezi ila tunasubiri octoba 28 tuwatimulie mbali
 
Ninyi ni pasenti kidogo sana sisi tulio wengi hatuwezi kuzipanda kujinyonga hatuwezi ila tunasubiri octoba 28 tuwatimulie mbali
Endelea kuota ndoto za Abunuwasi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Eti wakili!! wakili anayetoa matamko kwamba Lissu akishindwa aingize watu barabarani!! Na iweje wakili ndio amlipe mteja wake badala ya mteja kumlipa wakili?? Think big you f.o.o.l
Wakili ndio anamlipa mteja? Mambo unayoongea na mumeo usiyalete hadharani maana yatakuonyesha ulivyo mjinga
 
Utashudia mwenyewe
Atashuhudia wapi huyo angekuwa anaona na kuelewa asingekuwa hivyo! Mwenzako mda wa mkutano au kucheki video chadema hawezi atajinyonga asubuhi tu. Mbinu anayoitumia ni kujifunika shuka TUNDU anapomwaga vitu!!!! Mwishooooni watu washatembea ndio anaibuka kama ccm wanavyotoa ajira za walimu muda wa kampeni. Miaka yote walikuwa wapi
 
Mkoa wa wenyeji wasiojitambua, ni kati ya mikoa 3 ambayo haijawahi kuchagua wapinzani kama sijakosea ( Dodoma, Ruvuma na Pwani)
Aisehe ndio maana Dom tuna shida xana za maji!!!! Dodoma sio kame kama msikiavyo sema ma vyama vyama haya yasiyo na .........
 
Back
Top Bottom