sultansuleyman
Member
- Sep 29, 2020
- 24
- 3
Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevuMkuu Molemo pamoja sana kamanda. yale Mafuriko ya jana pale Karatu imewafanya watu upande wa pili wakate tamaa....Asubuhi hii saa tatu Mh. Rais anayesubiri kuapishwa atazungumza na wana-Karatu mambo makuu mawili.
1. Ilani ya uchaguzi ya CDM [Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu]
2. Elimu kwa mpiga kura na namna ya kujihami na uharamia wowote. Mwaka huu kitaeleweka
Ndiomaana tunataka tar 28 aingie magogoni atusafishie NchiNimependa sana ile kauli ya Campaign Manager wa Lissu ya kwamba “Safari hii watatambaa kwa magoti hadi yageukie nyuma “
Moto ndio kwanza umeanza...
Hivi Lissu aliwezaje kuishi maisha safi bila doa lolote kufikia hivi leo amekuwa tumaini pekee la wazalendo nchi hii? Alijua tokea utotoni akaishi kwa misingi ya uongozi?
Nimetafakari sana, watesi wake wangemmaliza kisiasa endapo angekuwa na hata chembe ya doa.
Mwenyezi Mungu amlinde na kumtangulia.Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi ya asilimia 60%.
Jimbo la Hai anakogombea Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ni moja ya sehemu atakazotua Tundu Lissu kumnadi Jemadari wa Siasa za Upinzani Tanzania.Ni wiki iliyopita tu Kamanda wa Polisi Hai bila aibu alimropokea Mbowe hadharani kwamba hatashinda ubunge jimboni humo.Wananchi wa Hai walisema Mungu amemuumbua OCD huyo akaropoka hadharani kilichokuwa kimepangwa nyuma ya Pazia.
Katika mkutano wa Hai CHADEMA inatarajiwa kumkaribisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye atapanda Jukwaani kumnadi Mwenyekiti mwemzake ambao ni marafiki wakubwa katika siasa za Tanzania
Pia baada ya kutoka Hai mgombea huyo wa Urais atatua Moshi mjini Jimbo ambalo limekuwa Upinzani kwa miaka 25 sasa
Picha 2 za Mwanzo ni Lissu na Sheikh Ponda wakiwa Mto wa Mbu Monduli
Wewe malaya wa kisiasa unalingine tena zaidi?Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]
Alipigwa lisasi kweli au lisasi la plasticUnampiga mtu risasi 30 bado anakusumbua unaambua kupanga kumchoma sindano ya sumu ukiamini itamuua, safari hii hatutakimbilia kuvaa tshirt za pona haraka Lissu mmeshatuona mazombi nchi hii.
Sisi ambao hatukuongezwa mishahara kwa miaka mitano. Na tunadaiwa riba kubwa kwa ule mkopo wa elimu ya juu tunajambo letu tarehe 28 mapema kabisa kabla jogoo haja vaa👌✌️✌️Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu View attachment 1605002
endelea kuota dogoUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Eti eeh?Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.
jina zuri akili mbovu...Tusiongee mengi subirini muone hiyo tarehe 28 october 2020 CCM ambavyo watawaliza kwa kura za kishindo msilie tu
Mangula alilishwa kweli sumu au ilikua sumu yenye mchanganyiko wa asali?Alipigwa lisasi kweli au lisasi la plastic
ya mume wenu ndio ya mtandaoni ..sisi tunaenda IKULU halisi ..hutak kunywa sumu ufeIkulu ya mitandaooni kwikwikwi
Elimu elimu elimu
buku saba sioHuwa hawapost mpaka walipwe.
CCM haina vijana tena wa kukipigania kwa maslahi ya chama chao bali lazima walipwe ndiyo watafanya hiyo kazi
fala wewe...hio mikopo ukimaliza chuo kwanza huna uhakika kua utaajiriwa mana tanzania hakuna ajira, una deni linakusubiri na hivi sasa ukianza kazi ya laki tatu kwa mwezi makato ni ya kupata ugonjwa wa moyo...then uko hapa kujisifu pumbu weweHuyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu View attachment 1605002
Baelezeee BaelezeeSisi ambao hatukuongezwa mishahara kwa miaka mitano. Na tunadaiwa riba kubwa kwa ule mkopo wa elimu ya juu tunajambo letu tarehe 28 mapema kabisa kabla jogoo haja vaa[emoji108][emoji3577][emoji3577]
Tuliopatiwa mkopo 2015, na ukakatwa 2016 tukaishi Kama mashetani tunajambo letu.Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu View attachment 1605002
Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.