Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

By design mifumo yote inawabeba hawa jamaa hawahitaji kuiabudu.
Ningekuwa IGP namchenjia tu kwamba tulia haki itendeke, nikiwa Mwenyekiti wa tume namzingua tu haki itendeke ningekuwa mkuu wa majeshi namchana tu mzee tulia haki itendeke hapo asingekuwa na jinsi zaidi ya kukimbilia jimboni Gisenyi alikotoka
 
Ana haki ya kuteua na kutengua wakati wowote. Amini nakwambia ktk siku za mwisho mwisho za kampeni wakuu wa taasisi zote za kijeshi wataongea na vyombo vya habari wakitoa jumbe zinazo saidia CCM kushinda!. Mark my words.
 
Nakuhakikishia hakuna Kura itakayoibiwa mwaka huu.Mlizoea Sasa mmekutana na Mwamba msidhani ni Lowassa huyu
Si mpaka muwe na hizo kura za kuibiwa?

Mtu anategemewa kupata asilimia 20 unamuibia kitu gani hapo?
 
Si mpaka muwe na hizo kura za kuibiwa?

Mtu anategemewa kupata asilimia 20 unamuibia kitu gani hapo?
Trh 28/10 msije tu kuanguka kwa presha nasikia kuna wengine tayari zimeanza kupanda.
 
Alipelekwa Kenyata mwenye akili timamu itakuwa huyu mshamba mwendawazimu we mbulula kweli
Kuna wa kumpeleka sasa.

Wakati yeye ndio raisi na piah CCM itazidi kutawala baada ya yeye kupita!
 
Alipelekwa Kenyata mwenye akili timamu itakuwa huyu mshamba mwendawazimu we mbulula kweli
Kenyata ana akili akili gani? Kawambie wakenya hayo maneno uone kitakachokutokea!

Ok tufanye ana akili na alienda huko, haya nini kilijiri? Maisha ya watu zaidi ya 1500 yalirudi?

Oktoba hii mbona tutawafurahisha sana.
 
Unamfahamu kwanza?
Mkuu Molemo, hawa watoto watakupotezea muda wako wa maana! Anasema hakuwepo, kwa sababu hamjui, na hata hajui kilicho mpata! Tumshukuru Melo, hili jukwaa watu wote ni ruksa kuingia!
 
Usiache kuleta mrejesho
 
Ningekuwa mchora katuni ningechora jinsi ccm na meko wakiiabudu tume na polisi na jw ili wabebwe.
Kwani sheria zinazotungwa haziwagusi hao polisi. Kikokotoo hakiwahusu polisi, JKT,JW . Mishahara kutoongezwa.

Kama nao wanaguswa na mambo ya hovyo ya uongozi huu, Basi nao tarehe 28/10/2020 Wanaenda na Ni yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…