Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Nimekwambia mauaji husika ambayo hakuna uchunguzi kwa miaka sasa acha kujitoa ufahamu wewe!
Siwezi kusema hakuna uchunguzi au hakuna kilichofanyika
 
Sasa hebu fikiria katika hiyo miili iliyookotwa na hakukuwa na uchunguzi wowote ule kungekuwa na mwili mmoja wa mtu anayekuhusu sana tuseme mzazi wako au mume wako ungejisikiaje?
Nimemuelewa kwamba yeye amesema apelekewe taarifa za hayo mauaji!
Kwanza mesema haijulikani muuaji ni nani. Halafu pia watu waliopotelewa na watu wao watoe taarifa kwenye vyombo vya dola vyombo husika halafu na yeye kama kiongozi wa jamii apewe taarifa.

Haya mambo serikali itakua inayafanyia kazi
 
Miaka mingapi Serikali inayafanyia kazi!? 😳

 
Tarehe 28, October. Watanzania Niko chini ya miguu yenu ninawaomba tusifanya makosa.
 
Tarehe 28, October. Watanzania Niko chini ya miguu yenu ninawaomba tusifanya makosa.
Kosa la kwanza lilikua idadi kubwa ya wapinzani kugoma kwenda kuhakiki taarifa za mpiga kura
Nakumbuka mimi nyumbani kwangu niliwabeba wote hadi kituoni, nikawaambia wakati ule hawakua wanaona umuhimi wa kupiga kura ila ikifikia wakati wa uchaguzi watajuta kwanini hawakujiandikisha. Leo wananishukuru na mimi nima furaha

Nina jirani zangu waligoma sababu ya ugomvi wa Lipumba na maalim
Na wengine waligoma sababu Lowasa alikosa

Sasa sijui itakuaje😎
 
29,000,000 waliojiandikisha wote ni CCM? Les maisha yalivyo magumu ni vigumu kutarajia ccm kukombolewa na hao wapiga kura. Ccm wenyewe wanaisoma namba.
 
Hongera sana lissu, fafanua vizuri kauli mbiu ya haki, Uhuru na maendeleo ya watu.tumia lugha ya kawaida ya kueleweka kwa umma kama haki ya dhamana polis, haki ya kufanya kazi na kuongezewa mshahara
Ipo kwenye kigungu gani kwenye ilani yenu
 
29,000,000 waliojiandikisha wote ni CCM? Les maisha yalivyo magumu ni vigumu kutarajia ccm kukombolewa na hao wapiga kura. Ccm wenyewe wanaisoma namba.
Kwa taarifa rasmi na ya uhakika toka CCM waliojiandikisha hadi mwaka Jana hadi march mwaka huu pamoja na wakulipia card zao ni 15,000,000 waliojiandikisha April hadi July ni zaidi ya 2,000,000. Bado wale walioamua kuunga mkono juhudi za rais👍
Usisahau jumla ya wapiga kura ni 29,000,000
 
Hata Mimi na familia yangu ni ccm 💯, na tumelipia kadi ya ccm Hadi mwaka 2030. Mkienda na idadi hiyo mmepotea 💯. Ccm ndio wapinzani kuliko unavyo dhania. Hakuna mtu ambaye Hana kadi ya CCM, Ila upigaji wa kura ni TL. Waliogombea uongozi na kumwagwa ccm ni zaidi ya 7,000 wote hao moyo wao uko upinzani walivyoumizwa na wajumbe. Watumishi wote wa umma ni ccm na kadi wanaxo, kwenye kura hawataki kuisikia ccm. Hizi figure zako za idadi ya wanachama mmeingia chaka.
 
CCM Wapumbavu sana, sasa sijui wanashangilia nini hapo kwa kauli ya kishenzi kama hiyo. Na kuna kauli inayofanana na hiyo ambayo aliiongea alipotembelea Pemba na kumtaka Shein eti watu wakimletea fyoko tu, ampigie simu akawakomeshe.
 
Reactions: BAK
Fungua akili yako, masikio na macho ili uelewe yanayojiri badala ya kuimba nyimbo kama kasuku.
Hahaha mimi huyo niwe kasuku! Never
Naamini kwenye ninachokijua hadi nitakapo jua tofauti na kile ninachokiamini
Huwa sibebi maneno ya kuambiwa na kutembea nayo bila kuyafanyia uchinguzi
 

Tukutane hapahapa kuanzia tarehe 28 October
Baki na ID yako hiyohiyo kama mimi ili tupate kupengezana na kupeana pole
 
Endelea tu kutetea ushenzi unaofanyika kwa sababu yaliyokukuta sio wewe, na kwavile mnatetea utawala ndo basi tena mnadhani mpo safer kulinganisha na wengine but am telling you; you're not !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…