mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Siwezi kusema hakuna uchunguzi au hakuna kilichofanyikaNimekwambia mauaji husika ambayo hakuna uchunguzi kwa miaka sasa acha kujitoa ufahamu wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kusema hakuna uchunguzi au hakuna kilichofanyikaNimekwambia mauaji husika ambayo hakuna uchunguzi kwa miaka sasa acha kujitoa ufahamu wewe!
Kwani Jeshi la Nani!? Wapi imeandikwa miongoni mwa kazi za Jeshi ni kuiba kura nijuwavyo hili ni JW yaani JESHI LA WANANCHIWewe una uhakika gani juu ya hilo
Au una jeshi lako?
Nimemuelewa kwamba yeye amesema apelekewe taarifa za hayo mauaji!Sasa hebu fikiria katika hiyo miili iliyookotwa na hakukuwa na uchunguzi wowote ule kungekuwa na mwili mmoja wa mtu anayekuhusu sana tuseme mzazi wako au mume wako ungejisikiaje?
Nimemuelewa kwamba yeye amesema apelekewe taarifa za hayo mauaji!
Kwanza mesema haijulikani muuaji ni nani. Halafu pia watu waliopotelewa na watu wao watoe taarifa kwenye vyombo vya dola vyombo husika halafu na yeye kama kiongozi wa jamii apewe taarifa.
Haya mambo serikali itakua inayafanyia kazi
Gaghbo???Laurent Gaghbo hakuwa na Jeshi?
Kwani bado kuna maiti zinaokotwa!?Miaka mingapi Serikali inayafanyia kazi!? 😳
Serikali ndiyo inatakiwa ihakikishe usalama wa raia na mali zao. Watanzania wanapotea, miili inaokotwa ufukweni na wengine wanauawa, kutekwa na kuteswa na hakuna uchunguzi. Huhitaji kuwa na Phd ili kujua ni nani mhusika Mkuu wa maovu hayo na kauli zake chungu nzima zinaonyesha hilo.
Kosa la kwanza lilikua idadi kubwa ya wapinzani kugoma kwenda kuhakiki taarifa za mpiga kuraTarehe 28, October. Watanzania Niko chini ya miguu yenu ninawaomba tusifanya makosa.
29,000,000 waliojiandikisha wote ni CCM? Les maisha yalivyo magumu ni vigumu kutarajia ccm kukombolewa na hao wapiga kura. Ccm wenyewe wanaisoma namba.Kosa la kwanza lilikua idadi kubwa ya wapinzani kugoma kwenda kuhakiki taarifa za mpiga kura
Nakumbuka mimi nyumbani kwangu niliwabeba wote hadi kituoni, nikawaambia wakati ule hawakua wanaona umuhimi wa kupiga kura ila ikifikia wakati wa uchaguzi watajuta kwanini hawakujiandikisha. Leo wananishukuru na mimi nima furaha
Ipo kwenye kigungu gani kwenye ilani yenuHongera sana lissu, fafanua vizuri kauli mbiu ya haki, Uhuru na maendeleo ya watu.tumia lugha ya kawaida ya kueleweka kwa umma kama haki ya dhamana polis, haki ya kufanya kazi na kuongezewa mshahara
Kwani bado kuna maiti zinaokotwa!?
Mbona kazi ilishafanyika
Kwa taarifa rasmi na ya uhakika toka CCM waliojiandikisha hadi mwaka Jana hadi march mwaka huu pamoja na wakulipia card zao ni 15,000,000 waliojiandikisha April hadi July ni zaidi ya 2,000,000. Bado wale walioamua kuunga mkono juhudi za rais👍29,000,000 waliojiandikisha wote ni CCM? Les maisha yalivyo magumu ni vigumu kutarajia ccm kukombolewa na hao wapiga kura. Ccm wenyewe wanaisoma namba.
Yapi, nidokezeKazi ipi iliyofanyika? Hujasikia yanayotokea Pemba na kule Hai? 😳
Yapi, nidokeze
Hata Mimi na familia yangu ni ccm 💯, na tumelipia kadi ya ccm Hadi mwaka 2030. Mkienda na idadi hiyo mmepotea 💯. Ccm ndio wapinzani kuliko unavyo dhania. Hakuna mtu ambaye Hana kadi ya CCM, Ila upigaji wa kura ni TL. Waliogombea uongozi na kumwagwa ccm ni zaidi ya 7,000 wote hao moyo wao uko upinzani walivyoumizwa na wajumbe. Watumishi wote wa umma ni ccm na kadi wanaxo, kwenye kura hawataki kuisikia ccm. Hizi figure zako za idadi ya wanachama mmeingia chaka.Kwa taarifa rasmi na ya uhakika toka CCM waliojiandikisha hadi mwaka Jana hadi march mwaka huu pamoja na wakulipia card zao ni 15,000,000 waliojiandikisha April hadi July ni zaidi ya 2,000,000. Bado wale walioamua kuunga mkono juhudi za rais👍
Usisahau jumla ya wapiga kura ni 29,000,000
CCM Wapumbavu sana, sasa sijui wanashangilia nini hapo kwa kauli ya kishenzi kama hiyo. Na kuna kauli inayofanana na hiyo ambayo aliiongea alipotembelea Pemba na kumtaka Shein eti watu wakimletea fyoko tu, ampigie simu akawakomeshe.Serikali ndiyo inatakiwa ihakikishe usalama wa raia na mali zao. Watanzania wanapotea, miili inaokotwa ufukweni na wengine wanauawa, kutekwa na kuteswa na hakuna uchunguzi. Huhitaji kuwa na Phd ili kujua ni nani mhusika Mkuu wa maovu hayo na kauli zake chungu nzima zinaonyesha hilo.
Hahaha mimi huyo niwe kasuku! NeverFungua akili yako, masikio na macho ili uelewe yanayojiri badala ya kuimba nyimbo kama kasuku.
Hata Mimi na familia yangu ni ccm 💯, na tumelipia kadi ya ccm Hadi mwaka 2030. Mkienda na idadi hiyo mmepotea 💯. Ccm ndio wapinzani kuliko unavyo dhania. Hakuna mtu ambaye Hana kadi ya CCM, Ila upigaji wa kura ni TL. Waliogombea uongozi na kumwagwa ccm ni zaidi ya 7,000 wote hao moyo wao uko upinzani walivyoumizwa na wajumbe. Watumishi wote wa umma ni ccm na kadi wanaxo, kwenye kura hawataki kuisikia ccm. Hizi figure zako za idadi ya wanachama mmeingia chaka.
Endelea tu kutetea ushenzi unaofanyika kwa sababu yaliyokukuta sio wewe, na kwavile mnatetea utawala ndo basi tena mnadhani mpo safer kulinganisha na wengine but am telling you; you're not !!Nimemuelewa kwamba yeye amesema apelekewe taarifa za hayo mauaji!
Kwanza mesema haijulikani muuaji ni nani. Halafu pia watu waliopotelewa na watu wao watoe taarifa kwenye vyombo vya dola vyombo husika halafu na yeye kama kiongozi wa jamii apewe taarifa.
Haya mambo serikali itakua inayafanyia kazi
OkayTukutane hapahapa kuanzia tarehe 28 October
Baki na ID yako hiyohiyo kama mimi ili tupate kupengezana na kupeana pole