CCM chama la roho mbaya...Majirani wana shughuli hata kusema habari hakuna aiseeMolemo,
jamani CCM haikualikwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM chama la roho mbaya...Majirani wana shughuli hata kusema habari hakuna aiseeMolemo,
jamani CCM haikualikwa?
Mlifanya nao maridhiano!
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Mkuu swali la kizushiMpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaa
Hivi polisi hawakwenda na mabomu pale mlimani city?Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
We Bujibuji kama wewe unataka kuonja sumu kaonje mwenyewe!CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
■ Katika mkutano mkuu wa taifa kuna hawa watu, tumeshindwa kabisa kuwaona Mh. silinde na Nassari. Kuna mwenye taarifa zao wako wapi hawa wapambanaji wetu???
☆Tafadhari CCM na Wachokonoko wengine Hii Post si yenu tafadhari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwanza kwa kuwatahadharisha hao wanaizaya kua huu uzi hauwahusu, kwa maoni yangu Nassari na Silinde wameshaunga mkono juhudi (indirectly).
Sent using Jamii Forums mobile app
umakini upi??Mimi hata uwe na umakini kiasi gani ukishaenda kuunga mkona uvunjifu wa katiba,sheria,utekaji na mauaji ninaku-blacklist. mtu makini upinzani ukimshinda anaachana na siasa full stop.
Asante kwanza kwa kuwatahadharisha hao wanaizaya kua huu uzi hauwahusu, kwa maoni yangu Nassari na Silinde wameshaunga mkono juhudi (indirectly).
Sent using Jamii Forums mobile app