Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli

Inawezekana ukawa na hoja za hapa na pale, hayo mabadiliko unayoyasema yakifanyika ndio vituo vya TV vitaruhusiwa kutanganza mambo ya cdm? Nilitarajia watu wawakatae cdm ndio useme wanahitaji hayo mabadiliko unayohubiri. Sio hawaruhusiwi kufanya siasa, wala kuwafikia wananchi kisha useme wafanye mabadiliko.
 
Mpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaa
Mkuu swali la kizushi
Nani unafikiri anaweza kuivusha CDM na kivipi tupeane ujuzi tafadhali!
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Hivi polisi hawakwenda na mabomu pale mlimani city?
 
Mjumbe wa Kamati Kuu Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu akiwa nami Mjumbe wa Mkutano Mk ( 480 X 640 ).jpg
 
Askofu Pengo na Sheikh mkuu wao hawajatoa neno au hawajaalikwa?!

Au wako mwanza na chato kupokea ndege na kuzindua mahakama?!
 
■ Katika mkutano mkuu wa taifa kuna hawa watu, tumeshindwa kabisa kuwaona Mh. silinde na Nassari. Kuna mwenye taarifa zao wako wapi hawa wapambanaji wetu???

☆Tafadhari CCM na Wachokonoko wengine Hii Post si yenu tafadhari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
We Bujibuji kama wewe unataka kuonja sumu kaonje mwenyewe!
 
Mimi hata uwe na umakini kiasi gani ukishaenda kuunga mkona uvunjifu wa katiba,sheria,utekaji na mauaji ninaku-blacklist. mtu makini upinzani ukimshinda anaachana na siasa full stop.
umakini upi??
 
  • Thanks
Reactions: bmk
Back
Top Bottom