We masikini soma vyema ile post yako taratibu usikimbie kutaka kujibu alafu na sehemu niliyoweka green uelewe kisha jibu hapo.
ujinga huo hata hamjielewi km mnaibiwa....
hawawezi kujenga hata wakikaa miaka 100 maana wao wamewekeza kwenye kuruka na chopa kila siku,
mmoja karibu helcopter imuue,kazi kuruka na helcopter hata umbali wa km 2,kujionyesha kwa mademu....ha ha ha ,nasary nae ana vituko jamani...
sasa hela zote kamalizia kukodi chopa,halafu kiinua mgongo kimekatwa,sijui huyu dogo atasolve vipi hapa.....
..., anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana. ...[/SIZE][/SIZE]Sawa Tajiri yangu nimerekebisha ilikuwa typing error...siunajua kusikiliza na kuandika at the same time..hope umeridhika now
Nilikuwa namaanisha Mh. Rais analalamika wafanyakazi wake kugawana viwanja wkt yeye ndiye mwenye mamlaka juu yao, hapo chini kwenye green.
..., anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana. ...[/SIZE][/SIZE]
nyerere ulimuona
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
Mgeni rasmi ni Rais Jakaya kikwete, namuona Ali shein, Kinana na Makamu wa rais Billal
Rais kikwete anatoa hotuba fupi na kuwashukuru watanzania na wana CCM
Hitilafu inatokea mic zinagoma wanabaki kushangaa.
Bado anazungumzia jengo jipya na kuhusu pia niya ya kukodisha jengo hilo kwa shughuli mbalimbali.. anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana.
Anawasifia UVCCM, UWT,na Jumuiya ya Wazazi kwa kuonyesha mfano mzuri kutumia viwanja vyao vizuri, kuwekeza kwa tija
Namuona pia balozi wa China.
Anawashukuru wajenzi na kumshukuru Kinana na kumuita 'jembe' shukurani maalum anasema ukiona vya elea ujue vimeundwa.
Rais anazindua jengo rasmi wajumbe wa kamati kuu wanaitwa na ndugu Nape kupiga picha na rais.
Rais na balozi wa china wanafungua jengo kwa kufungua pazia, kwenye jiwe la msingi
Ntaweka picha nzuri vizuri
Mke wa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm chama kinachoongoza serikali..
Hawana jipya kwanza wazalendo tuta hoji mlipewaje viwanja 40 kwa mjimmoja!
Mkuu ni viwanja 420 Jijini Dar!Hawana jipya kwanza wazalendo tuta hoji mlipewaje viwanja 40 kwa mjimmoja!