mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
Ivi jengo la ukawa ni lipi wakuu?
Ivi jengo la ukawa ni lipi wakuu?
MTEI SACCOS na nyie jipangeni angalau mjenge hata Room mbili kwa ajili ya chama chenu.
Asante kwa kuweka uthibitisho kuwa CCM ni Chama Cha Mafisidi na CHADEMA ni cha wananchi wa hali ya chiniHuu ndio ukumbi wa CCM DODOMA utakapofanyika mkutano mkuu wa chama dume cha CCM
Hapa chini ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa CHADEMA
Huu ndio ukumbi wa CCM DODOMA utakapofanyika mkutano mkuu wa chama dume cha CCM
Hapa chini ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa CHADEMA