Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nchi yetu tumeshuhudia mengi sana kutoka kwa uongozi uliopita kiasi cha kwamba inafikia mahari nchi inaendeshwa kwa style ya bora liende.

lakini kadri upepo unavyoelekea tunaona John P Magufuli unanafasi ya kupota na kuwa mgombewa wa urais kupitia chama cha wa kijani.
Nimaombi yangu uweze kupita ili utunyoshee nchi yetu maana tumekuona atleast unaweza fanya maamuzi.
Na Waziri Mkuu awe Muhongo. Yaani sipati picha itakuwaje hii combination ya hizi mtu mbili.
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
MEMBEEEEEEEEE! atakatwa mtu tena
 
Naona sasa leo jf tuwaachie wana CCM Maana siku zote nimewaambia chama chenu ni cha hovyo mnakataa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe,Rushwa inatembea hapo Dodoma isivyo kawaida nadhani sasa mmepata somo zuri la nn tunachosema kazi kwenu.
 
Nyie washauri wake ndo mmemwaibisha. Mlijua kabisa kuwa ni fisadi papa na mtoa rushwa lakini mkaendelea kumchombeza na kumshauri agombee; kwani hamkujua utaratibu wa chama chenu? Mmemlia pesa zake bure tu.
 

Wajumbe wa NEC wamemaliza kikao kwa kupiga kura na kupata majina matatu.

Matokeo yatatangazwa saa 2 Usiku.
 
Muda wa kazi umefika sasa,, wale wazembe kwenye system mjiandae bila shaka rais wa JMT POMBE MAGUFULI atakuja na jeshi hatari sana kwa wazembe... Pale nchemba,mwakyembe,prof muhongo hahahahaha mjiandae kukimbia sasa!!!
 
Back
Top Bottom