Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Magufuli will be Gud an option
hiki kiingereza cha wapi 'good an option'??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli will be Gud an option
dah mkuu una kumbu kumbuUsidanganyike,ni Bernard Member,kiboko ya kitine
Acha wamalizane ili UKAWA iendesha gari kwenye mteremko bila kuhitaji wese!! Circulation with it's numbers never die.
Na Waziri Mkuu awe Muhongo. Yaani sipati picha itakuwaje hii combination ya hizi mtu mbili.Nchi yetu tumeshuhudia mengi sana kutoka kwa uongozi uliopita kiasi cha kwamba inafikia mahari nchi inaendeshwa kwa style ya bora liende.
lakini kadri upepo unavyoelekea tunaona John P Magufuli unanafasi ya kupota na kuwa mgombewa wa urais kupitia chama cha wa kijani.
Nimaombi yangu uweze kupita ili utunyoshee nchi yetu maana tumekuona atleast unaweza fanya maamuzi.
Membe ndie atarejeshe iman kwa watz
Vipi ulikuwa unamtaka ba mdogo?
Membe kashakatwa kwenye 3 bora
AcHeni upuuzi.. huyo jamaa arudi mtama tu, tumechoka na wasaniiMembe ndie atarejeshe iman kwa watz