PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ule uzi wa kesi yake mahakamani ambso huwa unatoa updates uko wapi?
 
🤣🤣🤣🤣 Ifike wakati uwongo wa hivi uache,ulianza nao kwenye maandamano,akaandama mbowe na binti yake tu,kesi ya lissu ukadai hotel kkoo na migo zimejaa
Mbowe aliandamana na binti yake... serious kabisa ?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mi ndo nimepita kibaigwa na happy nation natokea katavi kesho mapema saa 12 ntakuwa kisutu
 
Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi ambapo umma umeruhusiwa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu na kujua yatakayojiri, ikiwepo na kumuona kwa wale ambao walinyimwa fursa hiyo walipokwenda kumuona.

Mara ya kwanza ilitokea virugu, waandishi, wananchama na wananchi wakapigwa na kupelekea kesi kuendeshwa mtandaoni.

Nini kitajiri siku ya leo? Muda utaamua!
Nipo dar tayarii
 
Back
Top Bottom