PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Update Saa Moja Asubuhi: Jaji Mkuu Mstaafu Kenya, Willy mutunga, waanasiasa, baadhi ya waandishi wa habari na wananchi kitoka kenya washikiliwa uwanja wa Nyerere.

=====

Thread 'KESI YA LISSU: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu' LIVE - KESI YA LISSU: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu


Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi ambapo umma umeruhusiwa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu na kujua yatakayojiri, ikiwepo na kumuona kwa wale ambao walinyimwa fursa hiyo walipokwenda kumuona.

Mara ya kwanza ilitokea virugu, waandishi, wananchama na wananchi wakapigwa na kupelekea kesi kuendeshwa mtandaoni.

Nini kitajiri siku ya leo? Muda utaamua!
Tukutane kisutu , nipo njiani ,walau nimuone mwana wa Mungu lissu ,hata kwa mbali
 
Leo wewe msomi umepata hii fursa ya propaganda kwasababu kuna ' Vilema'walikupigania!
Tlaatlaah ila wewe ni afadhali kuliko yule anayebubujikwa machozi ya mshangao .
acha ulofa gentleman,
sas we jichanganye katikati ya jiji ulete kimbelembele chako kama hujarudi kwenu tay zimeregea.

badala ya kusema sasa utasema thatha.
hakuna propoganda kwenye kuambiana Ukweli gentleman. Ustaarabu ni jambo la muhimu sana 🐒
 
Back
Top Bottom