PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
🤣🤣🤣🤣 Ifike wakati uwongo wa hivi uache,ulianza nao kwenye maandamano,akaandama mbowe na binti yake tu,kesi ya lissu ukadai hotel kkoo na migo zimejaa
Mimi nimetoka mafia muda huu ndio nipo hapa mbagala naelekea KISUTU MUDA HUU.

#FREE LISSU
#No reforms no ELECTION
 
Kesi za ajabu hizi wanapeana hawa wanasiasa. Hapo wanatumia rasilimali na kodi za wananchi vibaya.

Posho za Polisi, kuweka magari mafuta, kulipa mawakili na sometimes mashahidi. Wanamuonea Lissu na kutumia kodi zetu vibaya kufanikisha hila zao
 
Kinachoshangaza wanaomkamata ni wale manjagu wakubwa ila wanaoenda kutoa ushahidi ni hawa darasa la tatu kwa maswali wanayoulizwa pale ile court chamber unaiona kama Uwanja wa Mkapa jasho linatoka mpaka kwenye kucha wakina Kambole sio watu aisee leo nataka nimuone huyo Shahidi mwingine..
 
Update Saa Moja Asubuhi: Jaji Mkuu Mstaafu Kenya, Willy mutunga, waanasiasa, baadhi ya waandishi wa habari na wananchi kutoka kenya washikiliwa uwanja wa Nyerere.

=====

Thread 'KESI YA LISSU: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu' LIVE - KESI YA LISSU: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu


Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi ambapo umma umeruhusiwa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu na kujua yatakayojiri, ikiwepo na kumuona kwa wale ambao walinyimwa fursa hiyo walipokwenda kumuona.

Mara ya kwanza ilitokea virugu, waandishi, wananchama na wananchi wakapigwa na kupelekea kesi kuendeshwa mtandaoni.

Nini kitajiri siku ya leo? Muda utaamua!

Hivi ndivyo hali ilivyo nje ya Mahakama ya Kisutu muda huu saa 12 asubuhi Polisi wakionekana kuimarisha ulinzi.

View attachment 3338602
Political motivated case ..
 
Nawe huna ajira kama mimi mkuu?
Dr am 4 real PhD naye ni miongoni mwa wale "waalimu wasio na ajira" wakati shule zina uhaba wa waalimu.

Sasa si Bora aje kwenye kesi aongeze uelewa wa haki jamii ili akiajiriwa awe na uzowefu wa jinsi ya kupambania haki Tanzania atakapokuwa anafundisha Somo la Cvics!
 
Dr am 4 real PhD naye ni miongoni mwa wale "waalimu wasio na ajira" wakati shule zina uhaba wa waalimu.

Sasa si Bora aje kwenye kesi aongeze uelewa wa haki jamii ili akiajiriwa awe na uziwefu wa jinsi ya kupambania haki Tanzania atakapokuwa anafundisha Somo la Cvics!
MIMI NI MDAU WA AFYA MWANDAMIZI SENIOR.
Mkuu nitake radhi mkuu Mimi na ualimu wapi na wapi?

Mimi ni mwalimu wa neno la mungu Ila siwezi kua MWALIMU WA TZ ABADANI.

#SITAPELIKI

#FREE LISSU
#NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom