PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wataanza kujaa tu ni suala la muda.

Walikua wanapima upepo waone ni kweli mahakama inaweza kuizuia serikali na polisi wasipige raia na polisi wakaelewa?

Ngoja leo watu wapewe mipasho, video zi trend mtandaoni mpaka vijiwe vya kahawa, halafu sikilizia kesi ijayo uone.
Hakuna watu kujaa wala nini watu wako busy na mambo yao hapo mtakuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe sisi tupo busy mechi tucheze kwa Mkapa au Zanzibar.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Sawa weka na kapicha kidogo pls na sisi wa huku kijijini tuone...
 
Hakuna watu kujaa wala nini watu wako busy na mambo yao hapo mtakuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe sisi tupo busy mechi tucheze kwa Mkapa au Zanzibar.
Watu wapo wa kutosha ni wewe tu ndo umebaki home unaugulia maumivu ya show ya jana ya basha wako
 
Watakaokutana naye wamueleze kuna magugumaji mengi yametoka, yamehamia chauma
Magereza yana Television unless wamnyime hio access ya Kuangalia, Japo TV nyingi za Bongo zipo kimasilahi ya dola na Chama Tawala
 
Hakuna watu kujaa wala nini watu wako busy na mambo yao hapo mtakuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe sisi tupo busy mechi tucheze kwa Mkapa au Zanzibar.

20250519_095903.jpg
 
Unajua Zile Press na Kelele na Za Kina mrema ndio zinafanya dolla iachie umma ivi kuja kwa hio Kesi wanahisi kama Kuna Mpasuko kitu ambacho sio kweli
 
Hawa mawakili wa serikali huwa muda wote ni walevi wanakesha bar au? Yani mijitu inafika mahakamani ili kuahirisha kesi yakaendelee kulewa. Pumbav leo yamefika tu yakaomba kesi iahirishwe maana upelelezi bado...fooooooools
 
Back
Top Bottom