slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Nyiee mko salama sana ulemavu hauwezi ukawapataHapo CHADEMA hutawaona

haikuhusuHakuna watu kujaa wala nini watu wako busy na mambo yao hapo mtakuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe sisi tupo busy mechi tucheze kwa Mkapa au Zanzibar.
akiumia sio wa kwao, akifa msiba ni wa Chadema 🐒Hapo CHADEMA hutawaona
Update Saa Tatu Asubuhi: Lissu afikishwa mahakama ya Kisutu, awapunguia wananchi na wananchama waliokuja kufuatilia kesi hiyo, pia Godbless Lema, Boni Yai na viongozi wengine wa CHADEMA wafika kwenye mahakama ya Mkazi Kisutu
Update Saa Mbili Asubuhi: Foleni ndefu nje ya Mahakama ya Kisutu, wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
======
Update Saa Moja Asubuhi: Jaji Mkuu Mstaafu Kenya, Willy mutunga, waanasiasa, baadhi ya waandishi wa habari na wananchi kutoka kenya washikiliwa uwanja wa Nyerere.
=====
Update Saa Moja Asubuhi: Hali ilivyo Mahakama ya Kisutu, polisi waonekana huku hali ikionekana kuwa shwari
=====
Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi ambapo umma umeruhusiwa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu na kujua yatakayojiri, ikiwepo na kumuona kwa wale ambao walinyimwa fursa hiyo walipokwenda kumuona.
Mara ya kwanza ilitokea virugu, waandishi, wananchama na wananchi wakapigwa na kupelekea kesi kuendeshwa mtandaoni.
Nini kitajiri siku ya leo? Muda utaamua!
Hivi ndivyo hali ilivyo nje ya Mahakama ya Kisutu muda huu saa 12 asubuhi Polisi wakionekana kuimarisha ulinzi.
Mwanaume lazima upambanie haki yako hadi dakika za mwishoMwanaume katinga kujisimamia mwenyewe
NB.hii nchi sio ya mama yako na mimi sio mke wako nikiamua nalala hapa tuone utanifanya nini. HECHE'S VOICE
Mbona una hasira?!Hakuna watu kujaa wala nini watu wako busy na mambo yao hapo mtakuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe sisi tupo busy mechi tucheze kwa Mkapa au Zanzibar.
Update Saa Tatu Asubuhi: Lissu afikishwa mahakama ya Kisutu, awapunguia wananchi na wananchama waliokuja kufuatilia kesi hiyo, pia Godbless Lema, Boni Yai na viongozi wengine wa CHADEMA wafika kwenye mahakama ya Mkazi Kisutu
Update Saa Mbili Asubuhi: Foleni ndefu nje ya Mahakama ya Kisutu, wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwa ajili ya kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
======
Update Saa Moja Asubuhi: Jaji Mkuu Mstaafu Kenya, Willy mutunga, waanasiasa, baadhi ya waandishi wa habari na wananchi kutoka kenya washikiliwa uwanja wa Nyerere.
=====
Update Saa Moja Asubuhi: Hali ilivyo Mahakama ya Kisutu, polisi waonekana huku hali ikionekana kuwa shwari
=====
Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa na wengi ambapo umma umeruhusiwa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu na kujua yatakayojiri, ikiwepo na kumuona kwa wale ambao walinyimwa fursa hiyo walipokwenda kumuona.
Mara ya kwanza ilitokea virugu, waandishi, wananchama na wananchi wakapigwa na kupelekea kesi kuendeshwa mtandaoni.
Nini kitajiri siku ya leo? Muda utaamua!
Hivi ndivyo hali ilivyo nje ya Mahakama ya Kisutu muda huu saa 12 asubuhi Polisi wakionekana kuimarisha ulinzi.
Dah lakini kweli ujueHivi umekwisha msikia Muliro takribani wiki kadhaa na zile taarifa zake?
Hiyo ni ishara tosha kuwa huko ndani kwa ndani kunatogota. Ni kama Muliro kaondoka na "Gari Bovu"; huoni 'coincidence' hiyo? Haisemi chochote?
Ni "updates" na sio "apdate" ndugu.Mmeanzisha Uzi na hamtoi apdate
Mkuu,MIMI NI MDAU WA AFYA MWANDAMIZI SENIOR. 😀
Hii ni personal attack 😁Ni "updates" na sio "apdate" ndugu.
Uhai wake ni chukizo kwa wanyonyaji wetuMwanaume lazima upambanie haki yako hadi dakika za mwisho
Mkuu,Wamerusha taulo suala la mtandao! 😁
Hakika.Uhai wake ni chukizo kwa wanyonyaji wetu
Hasira za nini, kwa chama cha mtandaoni? hapana maisha mazuri sana wala hayataki hasira. Amani kabisa.Mbona una hasira?!