Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

1. Komandoo aliyepelekewa mtoto aliyezaliwa Mafichoni alikozuiliwa na wasiojulikana
2. Mama yake aliyeenda kumwangalia mwanaye Urio mafichoni alikoshikiliwa.
3.Mke wake aliyeenda kuchukua gari lao Rav 4. Huko mafichoni ilikokuwa.
4. Paroko alikokuwa anasali Urio.

Maneno haya hayajajitokeza kizimbani kwa bahati Mbaya ....... Mungu funua kila kilichoko uvunguni
 
Hapo wanamleta Shahidi ijumaa akikutana na mbilinge za mawakili wa utetezi wanaenda kumsuka weekend ili jumatatu afuate script vizur,
 
Huyu ndiye 'informer' tuliyeaminishwa na kumsubiri kwa mbwembwe na shauku au kuna mwingine?
Nahisi atakuwa yule aliyetoweka ghafla walipokamatwa wale wawili Rau Madukani ambaye hafuatiliwi sana kujua alitowekaje wakati wakamataji waliweka mtego wa kuwanasa wote watatu.
 
Luten anasema vijana walikuwa hawampi update kiasi cha kuwa too late hadi wakawa wametenda uhalifu, uhalifu gani uliofanyika? Hawa wanashtakiwa mapema kwa kuwa kadilia kuwa wanataka kutenda ugaidi, sasa huo uhalifu umefanyika lini? Hii kesi huku mwishoni amethibitisha kuwa ni ya kutunga.

Serikali inachafuliwa na watu wachache tu na sijui itakuwaje wazazi,ndugu,marafiki na jamaa wakijitokeza kusema kuwa Urio yupo kizuizini.

Hapa nimejifunza kitu kimoja leo, ni kuwa mashtaka haya yametungwa na wanasiasa wakubwa na wamepewa polisi watekeleze na ndio maana hata mkuu wa majeshi hawezi tia neno.

Kwa mujibu wa sheria makomando ilipaswa wawe kwenye mahakama ya kijeshi na wakati huo mbowe akiwa huku kwenye mahakama za ubabaishaji.
 
Mh.Judge anatakiwa kuzingatia HAKI,kuna watu wapo mahabusu kwa muda mrefu sasa.Upande wa mashtaka wanaonekana hawapo serious.
Acha ibaki hivyo hivyo!
Inajulikana hawana mashahidi huru!
Wengi wanaokuja nao ni wamchongo na mara zote faida inarudi kwa washtakiwa!!
 
Back
Top Bottom