Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

kwa akili yako huwezi kuona implication ya swali hilo!
Hili swali ni zuri kwa kumuongoza Mbowe atakapokuwa anatoa ushahidi wake ili kuthibitisha haja yake ya kuwa na walinzi. Siyo kwa Urio
 
Hili swali ni zuri kwa kumuongoza Mbowe atakapokuwa anatoa ushahidi wake ili kuthibitisha haja yake ya kuwa na walinzi. Siyo kwa Urio
One using higher mental faculties ndiye anayeweza kulona umuhimu wake
 
Kimbelembele cha Shahidi kinazidi kumvua nguo[emoji3]

Kibatala: Unafahamu Kwamba Tundu Lissu kwa Madhira aliyo Pata alikuwa anataka Ulinzi wa Hali ya Juu

Shahidi: Najua Kazi ya Ulinzi Kwa Mgombea ni Kazi ya Polisi

Kibatala: Kwani we Unajua Kuwa Mgombea analindwa na Polisi Wangapi

Shahidi: Sifahamu Kibatala: wewe Uliongea na Polisi Kuhusu Walinzi Wa wagombea

Shahidi: Sijawahi

Kibatala: Ulishawahi Kumlinda Mgombea wa Urais

Shahidi: Sijawahi

Kibatala: Ulishawahi Kumlinda hata Katibu kata

Shahidi: Sijawahi

Kibatala: Sasa Unaongelea Mambo ya Polisi, Yanakuhsu Nini wewe?

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
 
una maana gani? kwa mfano swali la tarehe ya kwenda kwa DCI ni story? au swali la kuwa kizuizini ni story?au swali simu CARD kuwa zipo kwenye simu ni story? jaribu kujiongeza ndugu yangu

Una undugu na huyo Stroke, pole sana.
 
Huyu ndiye Urio shahidi wa msimamo. Ngoja tusubiri tafakuri ya Majaji tuone kama msimamo wake utalipa au ni hasara tupu.
 
Halafu Mbowe atafutiwa kesi?
[emoji848]
IMG-20220131-WA0032.jpg
 
Maswali ya leo ni ya msingi sana kuliko wakati mwingine wowote, nawatakia mwongozo mwema mawakili wa utetezi na shahidi ili kufikia mwisho mwema wa hili swala
 
Kitu kimoja kiko wazi, hao wooooooooooooote waliochonga hiyo kesi , siku wanakata roho watataja hayo yote maana kukata roho ni wakati mgumu sana wa majuto na kuomba toba!
 
Mbowe siyo Gaidi.

Sijui yule bibi tozo ana hali gani..
Sijui anasikia uchungu kuona raia anatolewa kutoka kwenye kazi yake ya halali ya kuponda kokoto.. kuja kufanya kazi yake ya halali ya Ulinzi binafsi. na anaishia mikononi mwa wahuni.


Ps : huyu anaye jiita mjingayeye naomba great thinkers tum report kwa JamiiForums anatumia lugha ya matusi. Huu uzi unafuatiliwa na watoto mpaka wazee.
Siyo tu mbowe kuwa siyo gaidi Bali iwe kwa wote kuwa siyo magaid kumpendelea mbowe peke ake siyo sahii
 
Gaidi lipo ndani lakini masoko yanaungua kila kukicha, namna gani paleee..!!!
Magaidi yapo mtaani na maofisini wanatembelea V8 na wanalipwa mishahara minono na masurufu ya kutosha.Sifahamu na sikuwahi kuwaelewa wapambe wa CCM ni Wanzania wenzetu kweli au tumevamiwa na Intarahamwe?
Roho haziwasuti hata chembe kutenda maovu ambayo hata lucifer anatetema,hatari mno kwa ustawi wa jamii inayozingatia utamaduni wa UTU na HAKI.
Nani kawaambia viongozi wa umma wote wawe Dr's na Professor's huku tija ikiwa zero?Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika ila Dereva au Personal Secretary wake awe form IV leaver!
Tunataka Katiba mpya ya wananchi.
 
Kitu kimoja kiko wazi, hao wooooooooooooote waliochonga hiyo kesi , siku wanakata roho watataja hayo yote maana kukata roho ni wakati mgumu sana wa majuto na kuomba toba!
Huko mbali Kamanda.Tunataka Katiba mpya.
 
Naona Kibatala anamwongoza vizuri Urio!
 
Asante,tupo tayari

Naona shahidi ameanza kukasirika baada ya kukumbuka kipigo kutoka selo za Tazara ,japo anakataa kwamba hajawahi kuteswa[emoji28],Kibatala endelea tafadhali.
Ana hasira leo hadi nimehisi hajanywa chai labda
 
Back
Top Bottom