comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Hili swali ni zuri kwa kumuongoza Mbowe atakapokuwa anatoa ushahidi wake ili kuthibitisha haja yake ya kuwa na walinzi. Siyo kwa Uriokwa akili yako huwezi kuona implication ya swali hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali ni zuri kwa kumuongoza Mbowe atakapokuwa anatoa ushahidi wake ili kuthibitisha haja yake ya kuwa na walinzi. Siyo kwa Uriokwa akili yako huwezi kuona implication ya swali hilo!
One using higher mental faculties ndiye anayeweza kulona umuhimu wakeHili swali ni zuri kwa kumuongoza Mbowe atakapokuwa anatoa ushahidi wake ili kuthibitisha haja yake ya kuwa na walinzi. Siyo kwa Urio
una maana gani? kwa mfano swali la tarehe ya kwenda kwa DCI ni story? au swali la kuwa kizuizini ni story?au swali simu CARD kuwa zipo kwenye simu ni story? jaribu kujiongeza ndugu yangu
shusheni hizo nyota zote abaki privateNa sisi tupo hapa nje tunamsubiri Urio, akitoka humu akatueleze vizuri kambini.
Halafu Mbowe atafutiwa kesi?shusheni hizo nyota zote abaki private
[emoji848]Halafu Mbowe atafutiwa kesi?
Siyo tu mbowe kuwa siyo gaidi Bali iwe kwa wote kuwa siyo magaid kumpendelea mbowe peke ake siyo sahiiMbowe siyo Gaidi.
Sijui yule bibi tozo ana hali gani..
Sijui anasikia uchungu kuona raia anatolewa kutoka kwenye kazi yake ya halali ya kuponda kokoto.. kuja kufanya kazi yake ya halali ya Ulinzi binafsi. na anaishia mikononi mwa wahuni.
Ps : huyu anaye jiita mjingayeye naomba great thinkers tum report kwa JamiiForums anatumia lugha ya matusi. Huu uzi unafuatiliwa na watoto mpaka wazee.
Magaidi yapo mtaani na maofisini wanatembelea V8 na wanalipwa mishahara minono na masurufu ya kutosha.Sifahamu na sikuwahi kuwaelewa wapambe wa CCM ni Wanzania wenzetu kweli au tumevamiwa na Intarahamwe?Gaidi lipo ndani lakini masoko yanaungua kila kukicha, namna gani paleee..!!!
Huko mbali Kamanda.Tunataka Katiba mpya.Kitu kimoja kiko wazi, hao wooooooooooooote waliochonga hiyo kesi , siku wanakata roho watataja hayo yote maana kukata roho ni wakati mgumu sana wa majuto na kuomba toba!
na kweliHuko mbali Kamanda.Tunataka Katiba mpya.
Ana hasira leo hadi nimehisi hajanywa chai labdaAsante,tupo tayari
Naona shahidi ameanza kukasirika baada ya kukumbuka kipigo kutoka selo za Tazara ,japo anakataa kwamba hajawahi kuteswa[emoji28],Kibatala endelea tafadhali.