Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Kwan mkuu urio amekuja kutoa ushahidi wa kesi au amekuja kuthibitisha kuwa mbowe Ni gaidi?? Heb nijib hapa kwanza
Ushahidi maana yake ni nini?

Nyie ndiyo ambao Mr. Polepole anawaita wahuni amlibaki ndani ya chama chetu - tutafukiza kuni mbichi mtatoka tu.
 
Ndiyo kazi ninayo fanya- kuwatahadharisha watu kuwa hizi updates
zimehaririwa kujenga taswira kuwa
1. Mbowe ameonewa
2. serikali haina ushahidi
3.polisi ni wajinga
4. mawakili waserikali hawajui
5. mahakama zinaupendeleo au zimebanwa na dola
Fool, ilete ya kwako nyambafu
 
Na sisi tupo hapa nje tunamsubiri Urio, akitoka humu akatueleze vizuri kambini.
Huyo boya ni intake ya 16 na kwa ujinga wake itakuwa wale wa kunduchi kwa colonel Malya na sio Mafinga kwa colonel Mtonga.

Kifupi jamaa kaliaibisha jeshi na hasa 92KJ.

Yeye alitakiwa kuwamwaga police Ili aungane na wenzake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] URIO haamini alichokutana nacho yaan mweeeeh.

Ataabika zaidi Upande wa Utetezi utakapo leta Ushahidi wake Maana hata Baba Ake Mdogo John Urio Kamkataa, Mama Ake Kamkataa, Mtoto kamkataa kama alipelekwa hata mke wake alivyo hangaika kuitoa Gari kakataa, Sasa Ushahidi ukija ndio atajua hajui

Kaambiwa anakuwa chini ya ulinzi kila siku kakataa.

Yaani Urio leo amekuwa na Makasiriko baada ya kupigwa maswali ya maana.
 
Ushahidi maana yake ni nini?

Nyie ndiyo ambao Mr. Polepole anawaita wahuni amlibaki ndani ya chama chetu - tutafukiza kuni mbichi mtatoka tu.
Mkuu umeelewa nlichouliza au umejib usichoulizwa?? Usijib Kama hujaelewa mkuu,
Kataawahuni
 
Mawakili wa Serikali wanaanda Mashahidi mpaka wawatengeneze. Sasa wanajua kesi ni kila siku ipo kwanini Mashahidi hawawi tayari muda wowote? Na Jaji Anawachekea tuuu

Yaani siku 2 kutafuta Mashahidi na Walikuwa Wameorodheshwa. Ni ajabu
 
Hivi majibu ya sijui najua Jaji anachukua lipi? Shahidi huyu ambae anaonekana ndie msingi wa kesi hii kajitahidi ila udhubiti wa ugaidi bado haujajengeka vema kabda watakapoletwa wengine naona kazi upo kudhibitisha ugaidi.

Huyu shahidi sijui ajira yake jeshini itakuwaje kama ipo bado. Ni ngumu sana Jeshi la wananchi kuingizwa kwenye kesi za kisiasa. Lakini this TZ you never know.
 
We jamaa ni bonge la mbumbumbu yaani mpk sisi tusiojua chochote kuhusu sheria tumeanza kupata mwanga lkn ww umeashupaza shingo utadhani unafuatilia hii kesi peke yako.
Asante mkuu, nakubaliana nawe kabisa ila tunza hiki ulichokiandika kunasiku kitakusaidia huko mbele, huwezi kujua ya Mungu mengi
 
Bahati mbaya akina Kibatala hawajui huyo Shahidi Hana mshahara tangu October 2020.

Wamuulize hiyo maana tunamuonea huruma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan patamu hapo lol.
 

Yaani hapo ndio unaona umecheza mind games kishenzi, tunataka Mbowe afungwe kama Sabaya maana tunajua tofauti ya haya mambo.
 
We jamaa ni bonge la mbumbumbu yaani mpk sisi tusiojua chochote kuhusu sheria tumeanza kupata mwanga lkn ww umeashupaza shingo utadhani unafuatilia hii kesi peke yako.
Analeta ushabiki kwenye vitu vikivyo wazi
 
Kwahiyo kuwasiliana na mtu ni kosa? Hayo mawasiliano ni wapi yameonyesha nia ya kutenda ugaidi?
 
Shetani. Tushukuru COVID-19
 
We jamaa ni bonge la mbumbumbu yaani mpk sisi tusiojua chochote kuhusu sheria tumeanza kupata mwanga lkn ww umeashupaza shingo utadhani unafuatilia hii kesi peke yako.

Huyu Poyoyo ni mmoja wa waliotunga hii kesi ya kipuuzi , na mwingine anajiita mjingamimi. Wanatetea huu upuuzi katika hali ya kupotosha ukweli.
 
Shahidi kàambiwa na mawakili wake ukiona unaulizwa maswali magumu fanya mambo mawili;

1. Kasirika halafu foka na ikibidi cheka kicheko cha ''kama mwehu" hivi..
Hahahahah naona kama unasema kinyume chake- ona Mh. Kibatala alivyochanganikiwa

Kibatala: Unafahamu Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi kwenye viwanja vya bunge ?

Shahidi: Sifahamu.
 
Ona sasa kumbe kuna ushahidi Mzito hivi unao halafu hukujitokeza kutoa kwa wapelele. Hasa hapo ulipoona Mbowe anamuambia Sabaya kuwa " Huku umeshinda na je Upande Mwingine?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…