Ushahidi maana yake ni nini?Kwan mkuu urio amekuja kutoa ushahidi wa kesi au amekuja kuthibitisha kuwa mbowe Ni gaidi?? Heb nijib hapa kwanza
Nyie ndiyo ambao Mr. Polepole anawaita wahuni amlibaki ndani ya chama chetu - tutafukiza kuni mbichi mtatoka tu.