Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Hapa naona something fish smell, huxu jaji namashaka naye sana

Screenshot_20211105-213100.png
 
Ni kweli kabisa...

Japo ktk mazingira fulani Mungu huruhusu wachache wasio na hatia waumie kwa ajili ya wokovu wa wengi...

Mfano ni Yesu Kristo na upande wa pili Yuda Iskariote akiwa kama facilitator wa mpango bila yeye kujua...

Hapa "maza" ni Yuda Iskariote pasipo kujua akishirikiana na wenzake ana - facilitate hukumu ya watu wasio na hatia...

Yuda Iskariote aliingiwa na pepo (demon) la usaliti lililo facilitate hukumu ya kifo isiyo haki ya Yesu Kristo...

Lilipomaliza zamu yake, likampisha pepo (demon) la mauti/kifo na likaenda kummaliza kwa kujinyonga mwenyewe huku akitamka maneno haya, "OLE WANGU MIMI MAANA NIMEISALITI DAMU ISIYO NA HATIA...!!

"Maza" na wenzake vipande 30 vya fedha [Samia na wenzake ni madaraka] yamepofusha fahamu zao]. Hakika kama hawajifunzi kutokana na tukio la Yesu Kristo na Yuda Iskariote na wakaendelea na mpango wao huu muovu, HAKIKA WATAKUFA KIFO KIBAYA NA CHA AIBU KWAO NA VIZAZI VYAO VYOTE....!!!
Katika ulimwengu wa kiroho ili taifa lipate ukombozi ni lazima wacheche wapite kwenye kivuli cha mauti.
 
.....kwahiyo Mbowe alitaka kuhujumu VIONGOZI wa Serikali ambao ni Sabaya pekee!!
Kudhuru tena kwa kutumia spray sumu...ila hawakuwa nayo....wangekata miti barabarani, wangelipua vituo vya mafuta ktk miji yooote mikubwa tz na kuratibu maandamano yasiyokoma watu watatu tu na bastola Lugar yenye risasi tatu tu!
 
"Kibatala: Nilikusikia Kwamba Ulisema Arusha Lijenje alikuwa na Dada Yake, Je Mwambie Mheshimiwa Jaji Kama Ulimtajia Mheshimiwa Jaji

Shahidi: Hapana Sikumwambia

Kibatala: Je unayajua Majina ya huyo Dada

Shahidi: Hatukutajiwa

Kibatala: Kwa hiyo Mlienda Arusha Kumtafuta Dada Wa Lijenje

Shahidi: Ndiyo"

Walienda kumtafuta mtu Arusha hawamjui jina wala mahali anaishi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu huyo jmanne na wenzake walienda kumuomba mzee maeda a wasamehe lakini akakataa na kuwaambia wamrudishie tu mzinga wake wa nyuki. Cha kushangaza wamefukuzwa kazi lakini hawako ndani na hawajashtakiwa kesi yao ni uhujumu uchumi
Yule mzee nadhani ni gwiji wa Elimu hapa nchini alikuwa UDSM. Aliwapa kama milioni 75 hivi. Hii kesi ilikuwa TAKUKURU. Sasa Jumanne mwizi Sabaya Jambazi sijui kuna nini watu wanatafuta katika hii kesi. Siku ya Jumanne kutoa ushahidi nadhani ndio siku hii kesi itakufa. DPP toa hii kesi ni aibu kwa jeshi letu.
 
Kibatala:Ulimwambia jaji kuwa wewe ni unakunywa Gongo?
Mahita: sikumwambia
Kibatala:umwambia jaji kuwa akili zako siyo timamamu
Mahita : sikumwambia
Kibatala: Ulimwambia jaji kuwa wewe unatumia viroba
Mahita: Sikumwambia
Mahita: Sikumwambia
Mahita: Sikumwambia

Kumbe ukiwa mahakamani Sikumwambia ndo inatakiwa ili ushinde Kesi 😁😁😁😁😁😁😁
 
Samie mwogope Mungu.
 
Kwa ushahidi huu ambao wazi wazi ni wakubumba, hata asiyejua Sheria anaona kinachoendeleà mahakamani , kwa ushahidi huu na madudu haya ya ushahidi bado Jamhuri inaendelea na kesi, Basi wamedhamilia kukufunga au kumfunga mteja wenu.

I can say hata huko CA Kuna Giza Kama ndiye huyu Ibra!

Chedema Kama Chama, taguta mbadala wa kumnusuru Mbowe.
 
Sure... Kwa Mwenendo huu haki haitopatikana mahakamani... Wataitumia mahakama kupiga muhuri dhamira yao bila kujali watakua wamesigina vifungu vya Sheria kiasi gani.

CHADEMA wanatakiwa waamke.. kumekucha Sasa.
 
Hakuna ubishi kuwa Polisi na Mahakama wamepewa agizo la kumfunga Mbowe na hukumu tayari imeshaandikwa.Tasnia ya sheria imenajisiwa vibaya sana kwani hukumu hii ya kishetani itabaki kwenye rekodi na itaweza kutumika kama rejea katika kesi nyingine huko mbele ya safari. Hao Polisi wanajulikana ni vitendea kazi vya CCM tangu zamani na ndiyo maana hata Waziri wao amekiri kuwa wanarecruit failures ili iwe rahisi kuwatumia katika kazi chafu kama hizo, lakini kwa Mahakama hili ni doa kubwa sana.
 
Sure... Kwa Mwenendo huu haki haitopatikana mahakamani... Wataitumia mahakama kupiga muhuri dhamira yao bila kujali watakua wamesigina vifungu vya Sheria kiasi gani.

CHADEMA wanatakiwa waamke.. kumekucha Sasa.
Chadema needs to look for other means to save Mbowe et al
 
Mbowe hawezi kufungwa ila wanachotaka ni kumpotezea lengo la katiba Mpya , make hivi kweli inaingia akilini ushaid unaotolewa, MBOWE hawezi kufungwa wanavuta muda wa yeye kusota rumande
 
Last time walidisconnect wall socket, usikute wakati huu waling'oa viti ili wakose pa kukaa waleta habari wetu. Imbombo ngafu, mama anapambana kurejesha imani kwa watanzania na wafadhili huku mijitu mingine inazidi kudidimiza juhudi zake.
Mkuu Mama analaaniwa Kila Kona ya nchi hii. Yaani wanasema wanaomba usiku na mchana msiba utokee mlangoni kwake nae aomboleze kama hawa wanawake wenzie waliobomolewa vibanda vyao.

Wanasema yeye ana madaraka lkn wao wana Mungu na hawataacha kumlilia ili atende jambo Juu yake.
 
Back
Top Bottom