Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Mkuu unashangaa fagio kugeuzwa mwiko wakati ugaidi wooote mpaka wa kukata miti ulikuwa unategemea bastora hiyohiyo moja na risasi 3Hii case sijui kwa nini inaendelea. Tayari mission imeshafeli. Tukio moja hilo hilo, Shahidi aliyetajwa na Mahita aliposimama kizimbani alisema alishughudia akiwa anafagia tena saa 7 mchana, lakini Mahita alimuona anapika. Yaani Leo fagio linafanana na mwiko jmn?????. Serikali iondoe kusudio la kuendelea nayo.