Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Hata kwamba, Mbowe asingeshinda ubunge 2020, mlituandaa kabisa kisaikolojia, lakini nyie hamkujiandaa kisaikolojia kuifikia 17 March!Mbowe anafungwa wanachama wanatakiwa wajiandae kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwamba, Mbowe asingeshinda ubunge 2020, mlituandaa kabisa kisaikolojia, lakini nyie hamkujiandaa kisaikolojia kuifikia 17 March!Mbowe anafungwa wanachama wanatakiwa wajiandae kisaikolojia
Great!!Shangaa na wewe. Ila nadhani Mama kuna mtu anamtaka kumchomoa ndio maana kaacha hii sarakasi itembee.
Naam mkuu! Hiki ndicho haswa.
Kama kwa upande wako huna cha kujifunza kwenye hii kesi, basi wewe utakuwa ni mwanadamu outdated kabisa! Na huenda wewe ndiyo anaye ota! Maana kama huamini hivi namna mashahidi wenzako wanavyo jichanganya pale mahakamani.
Na hayo mawazo yako ya kufa kwa JF yasahau! Maana utatangulia wewe, na JF itabaki milele.
Kama kwa upande wako huna cha kujifunza kwenye hii kesi, basi wewe utakuwa ni mwanadamu outdated kabisa! Na huenda wewe ndiyo anaye ota! Maana kama huamini hivi namna mashahidi wenzako wanavyo jichanganya pale mahakamani.
Na hayo mawazo yako ya kufa kwa JF yasahau! Maana utatangulia wewe, na JF itabaki milele.
Wewe kwani una tatizo gani?Kwa kuendelea kuangalia bila kuchukua hatua (entertain) aina za nyuzi kama hizi, nahisi ni mwanzo wa mwisho au kufa kwa JF. Kwa wale waliokuwepo miaka ile JF ilikuwa msitu wa kujifunza. Lkn sasa, mtu anaweza akaanzisha uzi mpaka unajiuliza... huyu anaota au vp???
Kibatala na wote kwenye genge lake hawakukiona hiki- ni watu wa Shigongo na Nyambari NyangwineNaam mkuu! Hiki ndicho haswa.
Bravooooo!
Na baada ya kutajiwa kifungu bado anadai siyo lazima yaani ni interesting kweliShahidi hapo awali akidodoswa na wakili wa serikali...
Wakili wa Serikali: Ieleze Mahakama ukiwa Kama Afisa wa Polisi Majukumu Yako yalikuwa ni yapi
Shahidi: Ukamataji wa wahalifu, Upekuzi wa tuhumiwa na Maeneo, Kusafirisha Watuhumiwa
Halafu punde kidogo wakati akidodoswa na upande wa utetezi...anakana moja jukumu alilolitaja kama sehemu ya JD yake...
Kibatala: Pale Rau Madukani, nani alikuwa Arresting Officer
Shahidi: Mimi hapa
Kibatala: Unafahamu au hufahamu kwamba ukisoma pamoja kifungu cha 23 cha CPA pamoja na PGO, arresting person ndiyo anapaswa kufanya search, Je unafahamu hilo?
Shahidi: Siyo lazima
Wewe kwani una tatizo gani?
Umelazimishwa kuingia na kusoma humu?
Yaani mtu kajitolea na kutupatia updates za kesi ya ugaidi wa Freeman Mbowe mahakamani wewe unasema "ni uzi wa kipuuzi?"
Utanisamehe sana nikisema hili juu yako, kuwa wewe ndiye una tatizo la kufikiri vizuri kwenye bongo yako...!!
Hakuna shida mkuu.Tumeshajiandaa kisaikolojia !Lakini Mungu ni wetu soteMbowe anafungwa wanachama wanatakiwa wajiandae kisaikolojia
Mbona Kibatala kaimuduuu.Hii kesi Lissu alipaswa awepo
Kibatala na Lissu ungefurahia balaaMbona Kibatala kaimuduuu.
We jumanne? hiii mnataka kuua mtu kizimbani! Frustration alizo nazo zinamtosha,Mashahidi 24 siyo mchezo. nawaomba jamhuri hata Kama wakihamua kusitisha ushahidi basi wa jumanne na urio usikosekane.
Hapa mkuu tuwaombe mawakili wa utetezi wayapitie sama maswali wanayouliza Hawa wa jamhuri. Sisi tunaweza kuona mashahidi wanapoteana lakini mashahidi wanaokuja wakaja kuwaunganosha.Hakuna shida mkuu.Tumeshajiandaa kisaikolojia !Lakini Mungu ni wetu sote
Na sabaya aliyetajwa kuwa angedhuliwaMashahidi 24 siyo mchezo. nawaomba jamhuri hata Kama wakihamua kusitisha ushahidi basi wa jumanne na urio usikosekane.