Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Sema mapepo yao, Roho Mtakatifu wetu hana mambo ya hivyo.Jamaa watakuwa walioteshwa na roho mtakavitu... ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mapepo yao, Roho Mtakatifu wetu hana mambo ya hivyo.Jamaa watakuwa walioteshwa na roho mtakavitu... ha ha ha
Ameen.. tawileNa ambaye alihuzunika alishiriki dhambi kubwa na mwendazake na hivyo MUNGU mwenyewe Kama alivyo tuokoa tarehe 17.March atatuokoa kwa kumfikia mmoja ya wale walioshiriki naye.
Last time walidisconnect wall socket, usikute wakati huu waling'oa viti ili wakose pa kukaa waleta habari wetu. Imbombo ngafu, mama anapambana kurejesha imani kwa watanzania na wafadhili huku mijitu mingine inazidi kudidimiza juhudi zake.Uzi umekuja kwa kuchelea sana leo
Hongereni wataalam mnaletaga mtanange livelive mpakaraha!!Nilikuwa na shughuli maalum Mahakamani hapahapa, nikajua mkuu Replica atashika kazi hii
Askari wa Mama Samiah wapo hovyo tukubali tu, mimi ni mzalendo hasahasa ila hii kesi haina ukweli wowote…
Kumbe afande jeifoo alihusika kumbambia mzee wakimeru pembe za ndovu!!! Sasa mbambikaji huyu anashindwaje kuwabambika sana bastola na kete za unga??
Shahidi jeifogo asikosekane tafazali.
Kwamsaada tuu,
Mawakili wa sirkali wanavyoita mashahidi wengi haiwasaidii ndiyo kwaaanza ushahidi unadhihirika kuwa feki.Mara muuza mbege,Mara jeifoo hahahhahhh dah!! labda kama niili washtakiwa wasote gerezani sikunyingi!
Niaibu sana itapodhihirika (japo nikama tayari) kuwa nikesi ya uongo wakati prezaa naye alitiamo kaujuaji! Hivi hairuhusiwi akawe shahidi??
Hahaha martin alivyosimulia hilo tukio nilichekaLast time walidisconnect wall socket, usikute wakati huu waling'oa viti ili wakose pa kukaa waleta habari wetu. Imbombo ngafu, mama anapambana kurejesha imani kwa watanzania na wafadhili huku mijitu mingine inazidi kudidimiza juhudi zake.
Huyu majaliwa huyu mnafiki sana, wale wote aliotofoutiana nao enzi za JPM awefakuzisha kazi kama sio kuwasimamisha na kuwashitaki.Majaliwa , Mpango , Kabudi , Mwigulu, Sirro na Ndugai, hawa ni legacy ya Mwendawazimu inayomtesa bibi wa kiarabu.
Wamemdibiti sawasawa kabaki anarembua tu.
Hicho ni kizungumkuti gata wao wamepata mtiahani mkubwa sana jambazi anakuja kutoa ushahidi kwenye ugaidi... halafu kwenye hii kesi ya ugaidi ni miongoni mwa mashahidi upande wa jamhuri; sijui atakuja kama polisi au raia!
Bado kuna mapumbafu yanaona hii kesi ni sawa tu... Yaaani inamatobo mengi mnooo.... Ni mwehu tu anaweza ihukumu kwa favor ya serikali naridia ni mwehu tu awezaye.Kibatala; unafahamu afande jumanne amesi amishwa kazi kwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki na yeye ni miongoni mwa mashahidi kwenye hii kesi?
Shahidi; sifahamu Kama kasimamishwa kazi
Kibatala; unafahamu kuwa afande jumanne anatuhumiwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki?
Shahidi; nafahamu
Makubwa!!!!!!
Wanafiki sana hawa watu wawili, kwanini wasiwe kama wa msoga na shehe nkapa, watu tujue moja kama ni ubaya ubaya tu!Afu msikitini hakosi swala tano....
Kama mwendazake na siti za mbele kanisani....
Hivi pana nafasi ya kutosha tu kukaa, au mnabanana kama mko kwenye daladala?Na enjoy sana kufatilia kesi kutokea mahakamani. Toka nimeanza kuhudhuria, nimejifunza mengi sana.
Nimeishi sana polisi kotaz ila wale jamaa akili zao wanazijua wao .. Unazweza muona MTU msaarabu muelewa ila sasa .ndio maaana wanawataka waliofeli.Mwambie huyo anajifanya hajui uhalifu mkubwa unaotendwa na polisiccm nchini kiasi cha kuchukiwa na asilimia kubwa ya Watanzania nchini kote.
Kwa akili yao waliona wanatilia uzito juu ya mashtaka, walisahau kama kimbembe kipo katika kuthibitisha.... hao walioandika hati ya mashtaka na wanaotoa ushahidi mahakamani kwamba hata Kiswahili kinawashinda? Kuwadhuru viongozi wa Serikali; sasa taja hao viongozi; Sabaya; wengine? Sabaya! Kwamba Sabaya anatajwa kwa wingi amekuwa Mungu?
Bwana Mungu na akasema, "tumfanye mtu kwa mfano wetu ...". Kwanini hati ya mashtaka na ushahidi visingetaja tu kiongozi wa serikali badala ya viongozi! Another mistake on jamhuri's side! You can see the ill motives behind thise case!