Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Mkuu unashangaa fagio kugeuzwa mwiko wakati ugaidi wooote mpaka wa kukata miti ulikuwa unategemea bastora hiyohiyo moja na risasi 3
Hivi kweli IGP anafuatilia sakata hili na anaona ni poa tuu? Au nae ni miongoni mwa wale form four failure???
 
Kuna ule msikiti wake aliujenga Kule Moro waislam wamegoma kuutumia mpk leo,wanasema Ni haramu.
Ile rangi kwanza haikubaliki kabisa Kwa msikiti takatifu......rangi yà njano na kijani! Imagine! Waliogomea wapo sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…