Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Hivi kweli IGP anafuatilia sakata hili na anaona ni poa tuu? Au nae ni miongoni mwa wale form four failure???Mkuu unashangaa fagio kugeuzwa mwiko wakati ugaidi wooote mpaka wa kukata miti ulikuwa unategemea bastora hiyohiyo moja na risasi 3