Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Sitaki kuamini kama mama yenu hangaya amedhamilia kumfunga kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, hata kwa mwenendo wa jaji naona giza mbele
Kupitia yale mahojiano yake na Salim Kikeke, bila shaka huyo Kiongozi wa upinzani anachosubiria ni kifungo tu.

Maana aliiaminisha dunia ya kwamba "watuhumiwa wenzake" tayari wamesha hukumiwa na kwa sasa wanatumikia vifungo vyao katika magereza mbalimbali nchini!

Sasa cha kujiuliza na hawa akina Adamoo wanao endelea na kesi sijui wapo kwenye kundi gani! 🤔
 
Mtoto wa Mahita kajileta nwenyewe kwenye 18
 
Hapa maza alichemka, anaipa Mahakama wakati mgumu sana kusimamia hii kesi, ndiyo maana jaji wa kwanza akajitoa, kumhukumu mtu asiye na hatia ni kazi kubwa mno ndani ya nafsi ya mwanadamu.
 
Hapa maza alichemka, anaipa Mahakama wakati mgumu sana kusimamia hii kesi, ndiyo maana jaji wa kwanza akajitoa, kumhukumu mtu asiye na hatia ni kazi kubwa mno ndani ya nafsi ya mwanadamu.
Ni kweli kabisa...

Japo ktk mazingira fulani Mungu huruhusu wachache wasio na hatia waumie kwa ajili ya wokovu wa wengi...

Mfano ni Yesu Kristo na upande wa pili Yuda Iskariote akiwa kama facilitator wa mpango bila yeye kujua...

Hapa "maza" ni Yuda Iskariote pasipo kujua akishirikiana na wenzake ana - facilitate hukumu ya watu wasio na hatia...

Yuda Iskariote aliingiwa na pepo (demon) la usaliti lililo facilitate hukumu ya kifo isiyo haki ya Yesu Kristo...

Lilipomaliza zamu yake, likampisha pepo (demon) la mauti/kifo na likaenda kummaliza kwa kujinyonga mwenyewe huku akitamka maneno haya, "OLE WANGU MIMI MAANA NIMEISALITI DAMU ISIYO NA HATIA...!!

"Maza" na wenzake vipande 30 vya fedha [Samia na wenzake ni madaraka] yamepofusha fahamu zao]. Hakika kama hawajifunzi kutokana na tukio la Yesu Kristo na Yuda Iskariote na wakaendelea na mpango wao huu muovu, HAKIKA WATAKUFA KIFO KIBAYA NA CHA AIBU KWAO NA VIZAZI VYAO VYOTE....!!!
 
Form 45 siifahamu lakini najua hujazwa maelezo.....huyu shahidi mhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…