Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Jiwe alikuwa raisi mshamba kuwahi kutokea. Hii yote sababu hakupenda kukosolewa na kuamua kumtesa Mbowe.
Ni wewe ni mtu mpumbavu sana ambaye unaamini kuwa Mbowe hapaswi kupimwa mahakamani, hata hivyo mpaka umauti unamfika huyo jiwe kuu la pembeni Mbowe alikuwepo uraiani.
 
That’s your interpretation which is different from my interpretation. They are LIARS trying their level best to tell lies to help this illegal government on their FAKE against Mbowe.

Two different statements based on two different questions prior to it, there’s nothing wrong with the answers, the only fault here is probably your lack for genuine interpretation.
Bottom line, swali la kwanza ni kuhusiana na kufukuzwa kazi kwa askari husika na swali la pili ni kuhusiana na ushiriki wake katika tukio la ubambikiaji wa nyara za taifa.
 
ibatala: Hati ya mashtaka inasema hivyo Vitendo vilivyotakiwa kufanywa vinajumuisha MOROGORO, ARUSHA, DAR ES SALAAM na MWANZA... Je ulieleza Kama kuna Mpelelezi alifika Morogoro?

Shahidi: Hapana

Kibatala: Je Katika ushahidi wako umeeleza kwenda mwanza Kwa kesi hii

Shahidi: Sikueleza

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji wewe Kama Msaidizi Wa RCO, Ulizungumzia Kuhusu Uwepo wa Njama za Kulipua Vituo Vya Mafuta Arusha... Kwa sisi wenyewe tuligundua kuhusu Arusha Kuna Mipango inaendelea

Shahidi: Ndiyo nimeongea

Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji kama Arusha Kituo A na B kilitaka Kulipuliwa

Shahidi: Sijamwambia

Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji kama ARUSHA Kuna Kiongozi A na B walitaka Kudhuriwa

Shahidi: Kimya

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Kwa Mujibu wa Upelelezi watu tuligundua Maandamano haya yalipangwa Tarehe ngapi na Eneo la Kuanzia

Shahidi: Hapana Siku Mwambia

Kibatala: Unakumbuka Kuzungumzia Chochote Kuhusu Mkoa wa Mbeya

Shahidi: Nilitaja Mkoa wa MBEYA kuwa Upo Miomgoni Mwa eneo linalotakiwa Kufanywa tukio

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Kati yenu Kuna Mpelelezi alienda Mbeya

Shahidi: Sijamwambia

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Kuna Vituo Vya Mafuta MBEYA Vilitakiwa Kulipuliwa

Shahidi: Sijamwambia

Kibatala: Je, Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kiongozi gani alipangwa Kudhuriwa

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Morogoro Vituo gani kwamba vinatakiwa Kulipuliwa

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Maandamano yalitakiwa kufanyika Wapi Mkoa wa Morogoro

Shahidi: Si kumwambia

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Sabaya alitakiwa Kudhuliwa tarehe ngapi Mwezi Gani na Mwaka gani

Shahidi: Hapana Sikumwambia

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Vituo Vinavyotaka Kulipuliwa Kilimanjaro

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Mshitakiwa wa Kwanza alitakiwa anatakiwa kufanya katika Mipango hiyo ya Ugaidi

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Je specific Role aliyotakiwa Kufanya ADAM Kasekwa Ulimwambia Mheshimiwa Jaji

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Je Specific Role ya Mohammed Ling'wenya Kwamba alitakiwa Kufanya nini

Shahidi: Si kumwambia

Kibatala: Je Specific Role ya Freeman Mbowe katika Kutaka kutenda Ugaidi

Shahidi: Ndiyo nilimwambia

Kibatala: Ulimwambia Nini

Shahidi: Kwamba Ndiye aliyekuwa anaratibu

Kibatala: kuratibu ni suala pana, Nataka Kujua Kazi yake Katika huo Uratibu

Shahidi: Hapana Sijamwambia

Kibatala: Je unafahamu katika Maelezo yako Umemtaja ADAM HASSAN na Siyo ADAM HASSAN KASEKWA Maarufu Adamoo

Shahidi: Nimemtaja ADAM HASSAN ila nimemtambua

Kibatala: Je unafahamu Kwamba Mshitakiwa wetu hapa Mahakamani Anaitwa ADAM HASSAN KASEKWA Maarufu Kama Adamoo

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Je Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Hwa wote wawili ADAM HASSAN ndiyo ADAM HASSAN KASEKWA

Shahidi: Ndiyo Nimefanya Kwa Kumtambua

Kibatala: Unafahamu Kwamba Sabaya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya amehukumiwa na Mahakama kwa Makosa ya Ujambazi

Shahidi: Ndiyo nafahamu

Kibatala: Je unafahamu Kwamba Sabaya Amehukumiwa Makosa ya Ujambazi Wakati wewe Ukiwa Afisa wa Polisi Arusha na ACP Kingai

Shahidi: Ndiyo natambua

Kibatala: Wewe Ulifanya Jukumu gani katika Kuzuia uhalifu Wa Sabaya

Shahidi: Siyo lazima Mimi lakini kuna wasaidizi waliopo Chini yangu walizipata

Kibatala: Na Unafahamu Kwamba Matendo Yake yalijirudia rudia

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji iwapo wewe na Afande Kingai Kama mlipata Taarifa za Intelijensia kuhusu Uhalifu wa Sabaya

Shahidi: Sikupata Taarifa

Kibatala: lakini unajua Mipango ya Uhalifu wa Wilaya ya Hai Nje ya eneo lako la kazi

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Kwanini tusiseme Kwamba Kesi hii ninyi na Sabaya Mlitengeneza Kesi Kwa ajili ya mambo ya Kisiasa

Shahidi: Siyo Kweli kabisa

Kibatala: Huyu ASP Jumanne Yupo wapi

Shahidi: Yupo Arumeru

Kibatala: Kwamba hufahamu kwamba Jumanne amesimamishwa kazi baada ya kumbambikia Mzee mstaafu kuwekewa meno ya tembo kwenye mzinga wake wa nyuki chini ya usimamizi wa ASP Jumanne ambaye ni shahidi wenu?

Shahidi: Sifahamu najua yupo kazini..

Kibatala: Muda huu tunapo ongea yupo Ofisini?

Shahidi: Sifahamu sababu siwasiliani naye siku nyingi

Kibatala: Unajua tukio lake la kusimamia kumuwekea Mzee wa watu meno ya tembo

Shahidi: Nafahamu

Kibatala: Je ulimfahamisha huyu aliyetaka kudhuriwa Sabaya

Shahidi: Sijamwambia

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Ukimfahamisha Kamati ya Ulinzi ya Wilaya Hai au Mkoa wa kilimanjaro

Shahidi: Hapana Siku Mwambia

Kibatala: katika Briefing zenu Je Kingai aliwambia kwamba kwamba ametoa Taarifa Kwa Kamati za Ulinzi na Usalama

Shahidi: Hakutuambia

Kibatala: Je katika Briefing Zenu Kingai aliwahi kuwaambia kuwa amemtaarifu Rais ambaye ni Kiongozi wa Nchi

Shahidi: hajatuambia

Kibatala: Labda Kufahamisha watu wa USALAMA WA TAIFA FA

Shahidi: Hapana hakutuambia

Kibatala: katika Maelezo Yako umezungumzia Kuhusu Jumanne Kuweka Sahihi yake Katika Hati ya Uzuiaji Mali

Shahidi: Hapana Sijasema

Kibatala: Statement Yako inasema "Tuliwa chukua watuhumiwa hao na kuwapeleka kituo cha Polisi Central kwa Mahojiano na tuliendelea Kumtafuta Mtuhumiwa Mwingine Moses Lijenje ambaye hatukuweza Kumpata, Je Kuna sehemu umesema Kwamba Mahojiano hayakufanyika

Shahidi: Hapo hakuna ila Ndiyo Maana Nimeelezea

Kibatala: Mheshimiwa Jaji tulikubaliana kuwa na health break, tunge' Break kwa sababu bado ninayo maswali mengi na huyu shahidi.

Wakili wa Serikali: sawa mheshimiwa

Jaji: unategemea muda gani zaidi

Kibatala: Labda nusu saa na zaidi

Jaji: Mpaka saa 8:30 tutarudi kuendelea
Hahaha aMahita hataki kuumiza kichwa kabisa, saafi kabisa hii kesi ni ya kipuuuzi mno mno
 
Degree ya kudesa, hajaonyesha uwezo wa hiyo degree acha kushobokea degree we mshamba.
Wewe na ujanja wako wote unaishia kufanya weighs za hoja mtandaoni nilitegemea kuwa ungekuwa ndio jaji basi, Pathetic.
 
Ni wewe ni mtu mpumbavu sana ambaye unaamini kuwa Mbowe hapaswi kupimwa mahakamani, hata hivyo mpaka umauti unamfika huyo jiwe kuu la pembeni Mbowe alikuwepo uraiani.
Akili yako haina akili.
Kesi iliandaliwa na Magufuli na akina ADEMOO waliwekwa jela na Mwendawazimu yule. Kesi ya zamani hii watu wapo jela zaidi ya mwaka sasa .
 
Mwambie huyo anajifanya hajui uhalifu mkubwa unaotendwa na polisiccm nchini kiasi cha kuchukiwa na asilimia kubwa ya Watanzania nchini kote.

police wa bongo hata kama ana phd kichwani huwa ziro kabisa
 
Shahidi ana degree ya sheria lakini, usikute wewe umeishia form four…
Wewe ni pi
Screenshot_20211105-150717.png
mbi kuliko huyu mwenye degree ya uharo!
 
Kibatala; unafahamu afande jumanne amesi amishwa kazi kwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki na yeye ni miongoni mwa mashahidi kwenye hii kesi?

Shahidi; sifahamu Kama kasimamishwa kazi

Kibatala; unafahamu kuwa afande jumanne anatuhumiwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki?

Shahidi; nafahamu

Makubwa!!!!!!
Ana ushahidi wa kubambikia meno wakati hakuwepo kwenye tukio,
Ila hana ushahidi wakusimamishwa wakati yupo kwenye mfumo wa jeshi.
Ana digirii ya sheria
 
Kulikua na kipindi cha tv cha vioja mahakamani huko Kenya, kulikua na vichekesho sana! Japo kwa sasa hakipo tena ila shukurani kwa sasa tunakipata live hapa hapa kwetu Tanzania kupitia kesi hii.
Wewe ni mimi kabisa aisee yaan kama leo hivi VIOJA ni zaidi ya Alexander na si ni mimi wewe ni Alender ndio ni mimi mhhh
 
Back
Top Bottom