Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Makamanda wa Siro wamevagaa
 
WS anafanya kejeli za kijinga eti oh wewe komando huwezi vunjika
Swali Kama hili linàsaidia Nini katika kujenga hoja yake? may be akisema.siwezi vunjika implication yake Ni kuwa huyu hajui anachosema maana hata chuma kinavunjika/bend depending on forces applied
 
Sorry, unadhani inaweza kuleta sura gani mpya labda?

1. Ni kama tu Jeshi litakanusha maelezo ya washitakiwa [makomandoo] ya sababu za kuondolewa jeshini na waka - concur na sababu za upande wa mashitaka (Jamhuri)..

2. Hata hivyo, lipo moja linaweza kumfunga na kumletea utata mwajiri [JWTZ] wa kina Adamoo na wenzake iwapo atakataa sababu walizozitoa na kuja na zake wasizojua wao, ni kujibu swali hili kwa usahihi: Waliondolewaje kazini/jeshini? Taraibu za kisheria za ku - fire, hire and suspend za utumishi majeshini zilifuatwa...?

3. Hopefully, JWTZ hawataweza kushiriki ujinga na uhayawani huu Wa wanasiasa...!
 
Nisaidie na Mimi Nini kilitokea.....
Katika hilo kulikuwa na mgogoro katika maelezo ya shahidi, Huku Jaji akiomba ufafanuzi kwa mawakili both side kipi aandike katika hayo maelezo ya shahidi, akashauri wakae wajadiliane..

After that Judge akapata cha kuandika.

For more updates mkuu zama twita. IAMMARTIN yupo anasongesha.
 
Upo sahihi.
 
Komandoo gani anakamatwa kirahisi kama mwizi wa kuku??
 
Na ushahidi huo wakiuleta kuwa aliondolewa kwa ajili ya nidhamu, itakuwa objected maana Kama hamkumpa barua, tutaaminije hicho mnachokileta... beyond reasonable doubt. Kwanini yeye hana certificate ya matibabu Lugalo kuwa alikuwa anatibiwa Nini?
 
watasema wanazo na wamewatunzia.
 

Aliwahi kuniambia jamaa mmoja zile activities za kutesa watuhumiwa zilizokuwa zinafanyikiaga sitakishari zilihamishiwa hapo Tazara kuanzia 2015
 
Siri ya Tazara inafichuka na hii kesi.

Wameweka watu mahabusu miezi nane bila kuwafikisha mahakamani.

Tazara ni Guantanamo ya Tz
wakililzwa watamwambia Jaji kwamba bado walikuwa wanakusanya upelelezi, sheria za nchi yetu hazijaweka time limit ipi upelelezi uwe umekamilika - hapa ndipo tatizo lilipo.

Unaweza kukamatwa leo na upelelezi ukaendelea hata miaka 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…