Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Afu Hangaya anajifanya mswahilina huku anatesa wapinzani wake.
Hangaya mswalihina!!! maajabu ya dunia! Kuachia Ali choki nani anapakua mzigo au amebakia kuchokonoa/kusaga vibinti vidogo!!!??
 
Duuh... Hawa maaskari ambao Shahidi Anita Mu RC muuza mbege jasiri wa kufuatilia tukio la ukamataji wa magaidi anawazungumzia ni wa nchi hii au ni wa Moshi?

Make naona baada ya mazoea ya kukiuka PGO leo PT wanajifanya wapo well organized like a movie script!
 
Hii kesi iwe fundisho kwa vyama vingine ambavyo badala ya kufanya kazi za siasa, vinajigeuza kuwa Genge la kihalifu.
inapaswa kujitathimini kila wakati.
Unatafakari Nini sasa na hizi kesi za mbege?

Au labda Kuna kesi gani wapinzani waliwahi kufungwa na hukumu zao zikasimama? Namaanisha baada ya rufaa ni hukumu gani ilithibitishwa kuwa Ni ya haki, nitajie moja tu mkuu.
 
Mmempa shahidi no 4 kamusi na dictionary ili imsaidie zaidi? Ukiulizwa maana ya gaidi unaomba ruhusa ya kwenda ........
Shahidi huyu kakaririshwa. Tusubiri cross-examination kutoka upande wa utetezi hapo ndipo tutasikia vituko.
 
1635758986091.png

Wee ndio huyu mbege mama?
 
Wakili wa Serikali: Hebu Kiangalie hiki kitu hapa, Iambie Mahakama ni nini

Shahidi: anaingilia bila Kushika, ni Bastola

Wakili wa Serikali: ambayo Imetoka wapi

Shahidi: Imetoka Kwa Adam

Wakili wa Serikali: Uliona wapi?

Shahidi: iliyotoka kwa Adam

Wakili wa Serikali: ni Kitu gani Kilichokufanya ukagundua

Shahidi: kwa namba

Wakili wa Serikali: Namba gani

Shahidi: A5340


Hapa tumepigwa na kitu kizito,mfanyabiashara wa kawaida kabsa kutoka kitaa anawezaje kukalili namba za bastora toka siku ya tukio mpk leo mahakaman🤔
 
Keshaanza kubanwa huko kumbe kwenye maelezo ya maandishi alisema vijana hawajui asa leo kasema alikuwa anawafahamu hadi kwa majina!!
 
Back
Top Bottom