Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Sasa hivi kinachofichwa ni dhulma na dunia imebadilika ila wakati ule watu walijua maadili ya kazi zao sasa hivi watu wanatetea matumbo yao haki hakuna anayehitaji ionekane ila wachache sana.Cha ajabu Gazeti la Uhuru lilikuwa linaripoti kila kitu kilichojiri mahakamani. Gazeti lilikuwa linagombewa na kuisha kabla ya saa nne asubuhi, Leo hii mhh!
Nadhani tuendelee kufatilia uzi na lengo la uzi .Nimekuelewa Mlatino Zeshalo na natekeleza.
Asante
Hofu imetawala ubongo, badala ya ubongo kuitawala hofu😂🤣Sasa hivi kinachofichwa ni dhulma na dunia imebadilika ila wakati ule watu walijua maadili ya kazi zao sasa hivi watu wanatetea matumbo yao haki hakuna anayehitaji ionekane ila wachache sana.
Vipi ile duwa yako ya Ijumaa imeishia wapi?Eeh Mungu msamehe mtumishi wako Mbowe na umtoe katika hili janga. Ili arudi uraiani aendelee na shughuli zake.
Amsamehe kwa kosa lipi alilotenda?Eeh Mungu msamehe mtumishi wako Mbowe na umtoe katika hili janga. Ili arudi uraiani aendelee na shughuli zake.
Mara mseme waliwatesa mara mbona makomandoo waoga mara nini,acha mshuglikiwe inauma sanaYaani hawa Policcm walienda kukamata watuhumiwa wa ugaidi kama wanaenda kamata vibaka wa kuku?
Haaaaa inashangaza aisee hawana weredi kabisa ndio taabu ya hawa askari wetu kua zero vichwani,
Wao kupokea maagizo ya wanasiasa na wanajifanyia mambo kienyeji kama makondoo yaliyokosa mchungaji
Ona sasa wanavyoaibika kwa weupe wao vichwani!
Only in Afrika!
Mwehu weweWanaitwa wanaharakati njaa
USSR
Kwa ukilaza wako unaona Kuna ugumu hapowakati wa IGP Siro kuchinjwa ukifika,serikali itaficha wapi hizi aibu. Hawatakubali titwer iripoti
Alikuku.la bila kukulipa nini!!!!!!!!!Eeh Mungu msamehe mtumishi wako Mbowe na umtoe katika hili janga. Ili arudi uraiani aendelee na shughuli zake.
Hakuna mkamilifu hapa duniani. Mungu atusamehe makosa yetu.Amsamehe kwa kosa lipi alilotenda?
hueleweki yani ulichoandikaMara mseme waliwatesa mara mbona makomandoo waoga mara nini,acha mshuglikiwe inauma sana
USSR
Umeomba vema Sana.Eeh Mungu msamehe mtumishi wako Mbowe na umtoe katika hili janga. Ili arudi uraiani aendelee na shughuli zake.
Dawa ya gaidi ni kupigwa risasi ya kichwa sio kumwombea arudi mtaani kuuwa wengineEeh Mungu msamehe mtumishi wako Mbowe na umtoe katika hili janga. Ili arudi uraiani aendelee na shughuli zake.
Shetani anatokea angani !!!!!!Namuona Shetwani akianguka kwa kasi kubwa sana toka juu angani! Asante Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo
Uongo na ukatili hudumu kwa kip;indi kifupi sana!
Nini kimekupata weekend hii,mbona umekuwa mpole na adabu juu?Hakuna mkamilifu hapa duniani. Mungu atusamehe makosa yetu.